Recent content by hajimadogo

  1. hajimadogo

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua frequency za Azam TV wanazotumia Dar es Salaam

    Habari, Kisimbuzi changu hakionyeshi, nipo frequency 506, nahitaji kujua frequency za Azam tv Antenna zinazotumiwa Dar es Salaam.
  2. hajimadogo

    JamiiForums Tanzania UBORA wa matumizi ya king'amuzi cha DSTV vs Ving'amuzi vingine

    Habari, hawa Azam nataka frequency zao za Antenna Dar
  3. hajimadogo

    JamiiForums Tanzania Waliohoji uhalali wa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar wafikia hatua gani?

    Wale ndugu zetu 40,000 wa Tanzania waliofungua kesi mahakama ya Afika Mashariki juu ya kuhoji uhalali wa uwepo nchi ya Tanzania wamefikia wapi? April 26, 2019 Tanzania imeadhimisha miaka 55 ya Muungano kati ya Tanganyika na Zanzibar. Muungano huo ndio uliozaa Tanzania ambao uliasisiwa na...
  4. hajimadogo

    JamiiForums Tanzania Habari wa ndugu, Naomba kuuliza kuhusu Taifa Stars kuelekea Afcon 2019.

    Habari wa ndugu, Naizungumzia Taifa Stars kuelekea Afcon 2019. Kwanza Taifa Stars ikienda sare dhidi ya Uganda mwakani tayari imeshajitoa wenyewe kuelekea Afcon. Mungu ajaalie Taifa Stars 5-0 Uganda. Haya ni matokeo mazuri kwa taifa lakini uzuri wake unategemea na mchezo kati ya Lesotho dhidi...
  5. hajimadogo

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Watu 9 wadakwa kwa kula hovyo mchana wakati wa Ramadhani

    Kweli kabisa, ukila hadharani ukamatwe tu. Ukiuza vinywaji mchana ufungwe tu. Heshima iwepo safi Sana SMZ
  6. hajimadogo

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    umuhimu wa hizi like ni upi?
  7. hajimadogo

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa Zanzibar msihoji Muungano kwa kila hoja

    Unaposema hivyo ina maana Muungano uvunjwe. Bunge ndilo linopitisha mambo hayo
  8. hajimadogo

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa Zanzibar msihoji Muungano kwa kila hoja

    pesa zitafutwe tu....
  9. hajimadogo

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa Zanzibar msihoji Muungano kwa kila hoja

    chambua kivipi? Waziri Mkuu hukumsikia alivyosema?
Back
Top Bottom