Mkuu mbona kama imekuuma sana?? 😁😁😁 mashabiki wa simba ndio waliofanya vurugu na kung'oa viti, club imepewa adhabu..mashabiki wenyewe wameomba walipe hilo deni na club ikaweka utaratibu ila unaibuka wewe mganga njaa kujiliza humu Jf, pia ni hiyari hajalazimishwa mtu. Ikikupendeza na wewe changia...
Haya mambo ukijichanganya ni tatizo..hela ndefu tu ipo kwe akaunti, nahofia kuendelea kuicheza maana inaweza ikaliwa au nikashinda pakubwa zaidi na nisiitoe..
Habari wana jamvi, nina changamoto moja naomba mwenye ufahamu anisaidie..
Nilideposit 888starz kwa Vodacom Mpesa nikazungusha mtaji kama wiki nikaipata faida..sasa nilipofanya uamuzi wa ku-withdraw nikakuta huduma ya kutoa kwa mobile haipo, nikajaribu kutafuta wakala na yeye kachemka, naomba...
Mkuu acha kupanic kijinga cz mpira una matokeo matatu..tatizo sisi mashabiki hatutakagi matokeo mengine zaidi ya ushindi! Na timu ikishinda huwez kuskia kocha akisemwa ila itoe sare au kufungwa lawama zote anabebeshwa kocha acheni hizo jamani, lakini pia mkumbuke wachezaji ndio hawahawa asilimia...
Mashibiki mbona haturidhiki?? Huyu kocha kosa lake ni lipi? Tatizo siku hizi kila mtu anajifanya mchambuzi wa soka..
Mwache kocha afanye kazi yake, hakuna anachoharibu hata kimoja mpunguze hulka!!
Ole lawama zote zinamuangukia yeye...sijui ni kwa nini hawezagi kujiongeza, yaani hata sisi mashabiki tulikuwa tunajua kabisa yule Fred anakula umeme muda wowote nashangaa sana kuona kamrudisha 2nd half na bado kafanya makosa ya wazi refa anamuonya ila yeye OLE alihisi anacheza na southhampton...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.