Recent content by haji chinyapi

  1. H

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kesi ya Ugaidi ina Dhamana? Kwanini Viongozi wa CHADEMA wamepata Dhamana? Kuna presha ya maridhiano?

    Hii inchi ina shida kubwa utawala wa sheria si jambo la msingi
  2. H

    JamiiForums Tanzania Ukute pole pole ndiye kigogo 2014. Nimewaza tu

    1:Kiingereza kingi_makamba 2:post za ambazo zina anza na maandiko ya dini_Nape 3:Mambo neutral_ Ridhiwani
  3. H

    JamiiForums Tanzania Ukute pole pole ndiye kigogo 2014. Nimewaza tu

  4. H

    JamiiForums Tanzania Naombeni Msaada Niweze kuacha Kamari ya Aviator, Maisha yangu hayaendi vizuri, Kamari hii Inataka kunitoa Roho

    Kaka, mimi nakuelewa sana tena sana kwa mtu ambae hajacheza aviator haweza kukuelewa nini unamaanisha. Fanya yafuatayo: 1.Tia nia kuwa kuanzia leo naacha kamari 2.Chukuliaa hizo pesa ulizopoteza kuwa haikuwa ridhki yako 3.mtafute shekhe/pastor kwa imani yako akufanyiee moambi 4: Jikite kwenye...
  5. H

    JamiiForums Tanzania Kuna dogo kashinda Millioni 58 kwa kubeti. Mnashauri nini?

    Aliyekudanganya kakuroga brother
  6. H

    JamiiForums Tanzania Msaada: Ni maswali gani yanayoulizwa kwenye interview Kada ya Ualimu?

    Pia kwa wale wa ngazi ya degreee wakapitiee 1.Education assessment and evaluation 2.Professionalism and ethics in education 3.counsselling and special needs and education. 4.Curriculum development and evaluation. 6. Uwe vizuri kwenye massomo yako ya kufundisha japo hii ipo kwenye oral...
  7. H

    JamiiForums Tanzania Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

    Episode nyingine lini
  8. H

    JamiiForums Tanzania Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

    Saa sita au saa kumi na mbili?
  9. H

    JamiiForums Tanzania Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

    BM umelala au ?
  10. H

    JamiiForums Tanzania Kufanikiwa ni nini?

    Dhana ya mafanikio ni pana sana, lakini nitajaribu kueleza kinagaubaga. Mafanikio ni kukipata kilee kitu ambacho unakihitaji maishani mwako mfano kama ukikuwa unahitaji gari ukapamabna baada ya mda fulani ukafanikisha kununua gari basi utakuwa umefanikiwa Mafanikio yamegawanyika katika nyanja mba
  11. H

    JamiiForums Tanzania Wale mademu wanaopenda kuomba hela

    Hahaaah
Back
Top Bottom