mandella
JF-Expert Member
- Oct 29, 2011
- 3,051
- 3,255
Heri ya mwaka mpya,
Kiuhalisia hawa watu wapo smart na wana mood za furaha wakati mwingi, ukikuta mchafu huyo alilogewa uchafu na wala si alazaliwa nao.
Nikajiuliza maswali machache, ung'aavu huo ni kutokana na nini labda, ukizingatia wafanyazi wa taasisi nyingine za kibenki hawako smart kama hawa? (sio wote).
Pia swala la "tumaini" wengi hawavunjiki moyo na hawaogopi ugumu wa maisha kama walivyo wafanyakazi wa Bank nyingine. Kwa wengine utasikia , oooh kazi ni nyingi kuliko maslahi,oooh kufanya kazi Bank ni utumwa mara oooh mishahara yenyewe ndio hii laki 6,Bora Kuacha na kwenda kulima . Yaani vilio vya Stress kila kukicha.
Siri ya hawa wafanyakazi wa CRDB ni nini? Mbona wao wanaonekana wakiipenda kazi yao na wakiwa na tumaini la hali ya juu?
Je, ni kwamba wanapewa mishahara mizuri?
Ni mazingira ya kazi mazuri?
Ni wanapewa mikopo mokubwa?
Ni zile T-shirt wanagaiwa kwa wingi? Ama ni nini haswa siri yao?
All in all nitakua mnafiki nisipompongeza Mr. CHARLES KIMEI.
Note;
Hapo nimezungumzia Sector ya Bank.