Recent content by Haji chakupewa

  1. H

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mapadri na Watawa wa Kikatoliki hawaoi/hawaolewi?

    Kuwa na mke ni lazima ila kama huyo padri Ana kasoro
  2. H

    JamiiForums Tanzania Jinamizi ni nini? Kwanini hutokea wakati wa kulala tu?

    Jinamizi ni jambo jengine kabisa halihusiani nakuhusu ujauzito na Jinamizi ni ndogo mbaya
  3. H

    JamiiForums Tanzania Tumeokoka kwa neema,naomba majibu

    Shetani kiumbe tofauti na malaika msichanganye baina ya shetani na malaika shetani ameubwa kwa moto na malaika ameubwa kwa nuru na walikuwa wote katika ibada ya mungu na baadae shetani akapotea
  4. H

    JamiiForums Tanzania Tumeokoka kwa neema,naomba majibu

    Kwani mimi sijafahamu nini kuokoka halafu la pili kwani mtu akifa ndio anakwenda mbinguni?kuna moto na kuna pepo sasa mbona mnataja mbinguni na mwanaadamu anahisabiwa na mungu alilofanya hapa duniani na hii ni siri mungu mimi na wewe hatujui na ahsanteni sana
  5. H

    JamiiForums Tanzania Adhabu ya kunyonga hadi kufa imepitwa na wakati?

    Mimi nakubaliana nayo anayeuwa makusudi sio kwa kujitetea basi na yeye auliwe na hii ni haki yawaliofiliwa ikiwa waliofiliwa hawatotaka damu ni kumsamehe basi hapo serikali inachukuwa hukumu yake ya kifungo n.k
  6. H

    JamiiForums Tanzania Ni mwanamke yupi ambaye ni sahihi kuwa naye katika mahusiano?

    sio hoja ambawo uliowataja alio bora ni yule utaye muowa kihalali
  7. H

    JamiiForums Tanzania Hivi ni ‘tuzo‘ au ‘tunzo‘?

    kwa wale wanaoimba na wanamichezo wanatunzwa na tunzo kwa yeyote anayefanya vizuri hutunzwa
  8. H

    JamiiForums Tanzania Tofauti wa maneno haya.

    Hamna tofauti isipokuwa neno kufahamu na kujua ni kufahamu umefahamishwa ndio ukamfahamu kabla ya hapo humjui lakini kujua nitoka hapo unamjua bila ya kufahamishwa
  9. H

    JamiiForums Tanzania Jinamizi ni nini? Kwanini hutokea wakati wa kulala tu?

    jinamizi ni nini,,, jinamizi linatokano unapolala na uko katika hali ya uchafu na hali ya uchafu sio majasho kakini ni umefanya hali ndogo au kubwa au umetokwa na manii na ukalala bila ya kuoga,,,
  10. H

    JamiiForums Tanzania Kumbe siku hizi Mtu akikuita JEMBE maana yake wewe ni SHOGA.

    Natoa salam kwa wote jamii forums... mara nyingi huwa najiuliza hivi ni kweli hii lugha au maneno yanayofasiriwa vingine tunavyofahamu ndio ni sawa au ndio maendeleo yenyewe na kama jembe ni shoga mimi ndio mara ya mwanzo kusikia na kwanini tuite shoga na kiswahili ni ****** shoga ni baina ya...
Back
Top Bottom