Recent content by Haika

  1. H

    Utofauti wa Lecture, Assistant Lecture na Tutorial Assistant ni upi?

    Hapana sio uchafu mtupu. Kakosea labda hajui... muelekeze vizuri tu mbona wote tuki safari ya kujifunza? Ukiona unajua kila kitu na huna cha kujifunza ujue siku zako duniani zimeisbia. Ukiona mtu ana mengi ya kujifunza ujue bado ana musa sana hapa
  2. H

    Utofauti wa Lecture, Assistant Lecture na Tutorial Assistant ni upi?

    Kuita kosa "aibu" ndio shida ilipoanzia. Na wewe kubali kukosolewa.
  3. H

    Utiaji saini Mkataba wa Tanzania na DP World: Mkataba utakuwa wa miaka 30 na utendaji kazi wake utapimwa kila baada ya miaka 5 na sio miaka 100

    Nadhani unatamani conflict. Ila wenzio walisikiliza maoni, wakarekebisha sasa kazi inaanza.
  4. H

    Utiaji saini Mkataba wa Tanzania na DP World: Mkataba utakuwa wa miaka 30 na utendaji kazi wake utapimwa kila baada ya miaka 5 na sio miaka 100

    Point kwa sasa ni kufanya kazi kwa bidii kila mmoja sehemu yake kuhakikisha watanzania tunanufaika na uwekezaji huu
  5. H

    Utiaji saini Mkataba wa Tanzania na DP World: Mkataba utakuwa wa miaka 30 na utendaji kazi wake utapimwa kila baada ya miaka 5 na sio miaka 100

    Ila kwa maoni yangu kumoa forum Huyo mjomba ni matumizi mabaya ya muda. Analeta uhamasishaji sehemu ambayo haiihitajiki. Watu washasaini.
  6. H

    Utiaji saini Mkataba wa Tanzania na DP World: Mkataba utakuwa wa miaka 30 na utendaji kazi wake utapimwa kila baada ya miaka 5 na sio miaka 100

    Nashukuru mabadiliko niliosikia. Hivi waziri mkuu yuko wapi? Mungu asimamie haya maboresho yalete unafuu kwa wanadarisalama kiuchumi. Sio kupigia picha
  7. H

    Stephen Hawking's Final Book Says There's 'No Possibility' of God in Our Universe

    Nitakuwa nakosea kuwaza kuwa theory ya Mungu unayoipinga ni zaidi inayojitokeza kutoka kwa watu wa mid east? Ambao wanatumia vitabu maarufu kama biblia na Kurani? Manake huyu Hawkings ndio alikuwa anazungumzia Mungu wa hivi vitabu. Wewe je?
  8. H

    Stephen Hawking's Final Book Says There's 'No Possibility' of God in Our Universe

    There are people who read other poples writings and those who think observe and write. You read to know what somebodys mind is like. You dont make it yours haraka haraka. Take time use your capabilities to establish and know what you can geow above the writer.
  9. H

    Stephen Hawking's Final Book Says There's 'No Possibility' of God in Our Universe

    O Panua uwigo wa vitabu vya kusoma pia tumia senses zako.
Back
Top Bottom