Recent content by Haika Kimaro

  1. H

    JamiiForums Tanzania Kwa mliosoma shule za bweni ni tukio gani la ajabu ulilowahi kukutana nalo/ kushuhudia

    Kuna mazingira ambayo yanalazimisha mtu kusoma shule ya bweni na kuna wengine wanaenda tu kwa mapenzi yao au maamuzi ya wazazi/ walezi. Kwa mliobahatika kuishi maisha ya bweni ni matukio gani ya ajabu yamewahi kuwakumba au kuyashuhudia?
  2. H

    JamiiForums Tanzania Mfanyabiashara ukifunga camera na hata ukitaka ushinde hapo 24/7 mfanyakazi akiamua kuiba ataiba tu

    Wewe inabidi sasa ukatubu, unalala kwenye nyumba iliyotokana na wizi na unapata usingizi vizuri😀 usije ukaungulia kwa hiyo nyumba
  3. H

    JamiiForums Tanzania Mfanyabiashara ukifunga camera na hata ukitaka ushinde hapo 24/7 mfanyakazi akiamua kuiba ataiba tu

    Watakuja kulia vibaya sio kila mtu anakubali kuibiwa😥
  4. H

    JamiiForums Tanzania Mfanyabiashara ukifunga camera na hata ukitaka ushinde hapo 24/7 mfanyakazi akiamua kuiba ataiba tu

    Kwa wafanyabiashara ambao hamjui vile mnaibiwa na wafanyakazi hata kama mmefunga camera. Iko hivi, mteja akifika dukani atachagua vitu anataka, wakati wa kufanya malipo mfanyakazi asiyekuwa mwaminifu atamwambia gharama yake halisi mfano 200K kisha atamwambia anaweza kulipia 20K na risiti...
  5. H

    JamiiForums Tanzania Kuacha kazi nzuri kutokana na pressure kubwa

    Hakuna kazi isiyokuwa na pressure kijana, kama maokoto ni mazuri wewe komaa kama hauna changamoto za kiafya.
  6. H

    JamiiForums Tanzania Wanaume wa Kinondoni waongoza kwa MABUSHA

    Kuna eneo waliwahi kupelekewa mradi kwa ajili ya kuwafanyia oparesheni ya kuondoa mabusha wakasema sio kipaumbele chao na kuwa nayo ni heshima 😔
  7. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nina miaka 24 ila mchumba wangu anataka nimsomeshe. Nifanyeje?

    Kama kweli unampenda na kipato chako kinaruhusu kumsomesha msomeshe tu, kikubwa sikiliza moyo wako pia. Busara ikutangulie kwenye kufanya maamuzi.
  8. H

    JamiiForums Tanzania Utakavyomuingia Mwakinyo ndivyo atakavyokupokea 😃

    Nafurahi kuwa shabiki wa Hassan Mwakinyo akiwa ulingoni. Huwa hakubali kushindwa kirahisi rahisi iwe ulingoni ama nje ya ulingo. Mungu aniepushe nisije kuingia kwenye 18 za mdigo yeyote nikasutwa🤣🤣
  9. H

    JamiiForums Tanzania Mathias (25) afikishwa mahakamani kwa tuhuma za mauaji

    Jeshi la Polisi mkoa wa Mtwara limesema kuwa, jana Desemba 30,2025 lilimfikisha Mahakamani Mathias Fabian John (25) kwa tuhuma za mauaji ya Samli Napone (42) aliyekuwa fundi ujenzi. Jeshi la Polisi Mkoa wa Mtwara linapenda kuujulisha umma kuwa tarehe 30.12.2025 lilimfikisha mahakamani mtuhumiwa...
  10. H

    JamiiForums Tanzania Michuano ya AFCON kwa kiasi chake ina ladha ya soka la Ulaya

    Ukitizama michuano ya AFCON unapata ladha ya soka la Ulaya kwa kiasi kikubwa kutokana na aina ya wachezaji na team wanazochezea Ulaya. Mfano kikosi cha timu ya Taifa ya Congo chote kinacheza soka la Ulaya kasoro Mayele pekee.
Back
Top Bottom