Recent content by hah

  1. hah

    JamiiForums Tanzania Inamaana vyombo husika vimeshindwa kumshughulikia Mpina?! Kweli kabisa? Naomba Mimi nipewe kazi hiyo!

    Utakazwa wewe endelea leta mshindo nyegeh
  2. hah

    JamiiForums Tanzania KERO Mochwari Muhimbili nao wanakula kwa urefu wa kamba?

    Wawajali Kwa maslahi mazuri hao wafanyakazi wa hayo maeneo wao wanajipendeleaga wao Tu Kwa maposho kedekede,,kumlinda maiti si Mchezo
  3. hah

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wadada Chukueni Hii: Kuwa wa kwanza katika Game Humdatishwa mwanaume

    Umenidindisha ankoli
  4. hah

    JamiiForums Tanzania Video: Huyu chawa wa Rais Samia yuko katika viwango vya SGR! Duh! Si kwa uchawa huu bali ni jinai

    Kinachouma zaidi % kubwa ya shobo nyingi siku hizi wanazo jinsia Me
  5. hah

    JamiiForums Tanzania Utaondowa chakula gani hapo kipo tofauti na Vyakula Wenzake? Kwa Mlo wa Usiku

    Toa Ndigwa hapo niachie machapati chapati,,marosti ya vyuku na majani mboga!!
  6. hah

    JamiiForums Tanzania Hebu tufanye hii challenge

    ##UmaskiniHuzalishaUnafki###
  7. hah

    JamiiForums Tanzania Hili shirika la Reli linaongozwa na watu wenye vituko sana

    Yote Kheri
  8. hah

    JamiiForums Tanzania Kero na changamoto za kufanya kazi (kuajiriwa) kwenye Halmashauri

    Chapa kazi Maisha ni Muchaka Muchaka kwenye kila hatua hakuna Hafu taimu.##KAZA##
  9. hah

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sheria kuu 5 kwa mwanaume

    ###Hakuna aliye kamilika###
  10. hah

    JamiiForums Tanzania Bapa limepita na mzee wa upako

    Tukuulize na wewe! Kwani Wewe Unamjua Yesu?licha ya kumjua au kutomjua,,Je Una uhakika huyo Yesu anakujua?Au kujikomba tuu Kwa huyo Bwana wenu Yesu
  11. hah

    JamiiForums Tanzania Malawi ndio walitaka vita na Tanzania?

    Ubarozi❎ Ubalozi✔️
  12. hah

    JamiiForums Tanzania Ishara tano(5) kwamba unakaribia kufa na nini cha kufanya unapoona

    Punguza mahangaiko Dogo
Back
Top Bottom