Recent content by haggai mwaipwisi

  1. H

    Msaada: Bei ya seatcover!!

    Sijui namna ya Ku upload picha kwenye jf
  2. H

    Bei ya seat cover za rav 4

    Seat cover za rav4 dukani hakuna isipokuwa iwe loose cover uvalishe ya gari yoyote. Kama unataka ya kushonesha Mimi ni fundi. Ni tsh 190000. Nitafute 0713917472 nikutumie picha
  3. H

    Msaada: Bei ya seatcover!!

    Mimi ni fundi wa seat cover. Za suzuki escudo nafanya 190000=. Ukitaka picha nakutumia. Piga 0713917472
  4. H

    Wanaume siku hizi wana Vitambi na Kitandani hawafanyi kitu

    Mtoa mada ana shepu gani, usikute kasimama kama moja
  5. H

    Mtu akifa Roho yake huenda wapi?

    Ukisoma biblia inasema uhai unakoma MTU anapokufa. Soma Mhubiri 9:5,10. MTU akifa anabaki kaburini anasubiri ufufuo, soma Yohana 5:28,29. Hivyo mtu akifa hakuna anakoenda ila ana baki kaburini anasubiri ufufuo
  6. H

    Misafara ya viongozi wa kitaifa: Kwanini iwe na mwendokasi ule?

    Suala ni kwenda na ratiba na kulinda usalama wao
  7. H

    Wanawake kushirikiana na mashoga

    Hao wanatumiwa sana na wnawake kuwatafutia wanaume, ni makuwadi wao
  8. H

    Wanaoolewa ni darasa la saba na form 4

    Wanaume wengi ni waoga, mwanamke mwenye elimu ya juu ni sawa na mwanamke mwenye elimu ya chini. Tabia mbaya haina elimu. Ila kiburi hujengwa na MTU mwenyewe bila kujali elimu
Back
Top Bottom