Recent content by HAFIDH FADHIL

  1. H

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri: Ni taasisi gani inayotoa ufadhili kwa ngazi ya Diploma?

    Habari zenu wana JF. Nilikuwa naomba ushauri/msaada. Kama kuna yeyote anaefahamu taasisi au sehemu wanayotoa ufadhili wa masomo kwa ngazi ya diploma kwa wale wasioweza kumudu ada. Mimi ni kijana nimeomba chuo diploma ya afya lakini nimeshindwa kuendelea sababu ya ada.
  2. H

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa sehemu wanayofanya ufadhili wa masomo

    Habari zenu wana JF, Nilikuwa naomba ushauri/msaada kama kuna yeyote anaefahamu taasisi au sehemu wanayotoa ufadhilibwa masomo kwa ngazi ya Diploma kwa wale wasioweza kumudu ada. Mimi ni kijana nimeomba chuo Diploma ya Afya lakini nimeshindwa kuendelea sababu ya ada
  3. H

    JamiiForums Tanzania Je, unaweza kusomea mafunzo ya afya ukiwa JKT?

    Thanks veoo
  4. H

    JamiiForums Tanzania Je, unaweza kusomea mafunzo ya afya ukiwa JKT?

    Mimi ilikuwa nauliza itokee mtu amemaliza Form Four au Form Six, baadaye akataka kujiunga na JKT, je kule anaweza kusomea mafunzo flani kwa mfano kama udaktari au uhasibu au inakuwa watu wote wanajifunza sawa miaka yote mitatu sasa hivi?
  5. H

    JamiiForums Tanzania Ufadhili wa masomo

    Amin
  6. H

    JamiiForums Tanzania Ufadhili wa masomo

    Asan Asante
  7. H

    JamiiForums Tanzania Ufadhili wa masomo

    A.alykum. kwa heshima na taadhima naomba niwasilishe ombi langu kwenu. Mimi ni kijana niliemaliza mtihani wa form 4 mwaka 2016 na kupata ufaulu was div 2 ya 18. Baada ya hapo nilitokewa na matatizo ya kiafya ambayo yalinifanya nishindwe kuendelea na masomo ya advance kwa kipindi Cha miaka...
  8. H

    JamiiForums Tanzania Ufadhili wa masomo

    #5 Asante Sana. Majina:HAFIDH FADHIL ALI Mahali nnapoishi: Fuoni taveta,Zanzibar Hiyo Ada imejumuisha tuition fee pamoja na hostel kwa mwaka. Pia nitashukuru wakijitokeza wadhamini zaidi ili wanisaidie kutimiza malengo yangu. Asante sana
  9. H

    JamiiForums Tanzania Ufadhili wa masomo

    Asante Sana Kaka
  10. H

    JamiiForums Tanzania Ufadhili wa masomo

    A.alykum. kwa heshima na taadhima naomba niwasilishe ombi langu kwenu. Mimi ni kijana niliemaliza mtihani was form 4 mwaka 2016 na kupata ufaulu was div 2 ya 18. baada ya hapo nilitokewa na matatizo ya kiafya ambayo yalinifanya nishindwe kuendelea na masomo ya advance kwa kipindi Cha miaka...
Back
Top Bottom