Recent content by Haco You

  1. H

    DOKEZO Rais tunakuomba utupie jicho TARURA

    Tarura yote almost Tz nzima ni ya mchongo sana... yaan Heri Tanroad kuliko huyoo tarura
  2. H

    Kati ya mahindi na alizeti kilimo kipi kinalipa?

    Umechanganua vizuri lkn hapo kwenye kiasi cha mavuno cha alizeti hapajakaa sawa kwa uzoefu alizeti chotara waweza toa 7 mpaka 12 gunia za 60 to 70kg na kwa mbegy opv 4 to 7 za 65 to 70kg. Lkn pia faida ya alizeti ni ukikamua mafuta na sio kuuza kama grain.
  3. H

    Madini ya makaa ya mawe yanavyowanufaisha wahindi, waarabu na wazungu na nchi zao na kuwaachia mashimo

    Bro hii ni geresha tu..lkn 90% ya magari yanayopakia mkaa ni ya hao hao wahindi na waarabu sisi madereva tu
  4. H

    Madini ya makaa ya mawe yanavyowanufaisha wahindi, waarabu na wazungu na nchi zao na kuwaachia mashimo

    Hawajakataliwa lkn urasimu n mkubwa na bahati mbaya Inachagizwa na ukosefu wa mitaji
  5. H

    Madini ya makaa ya mawe yanavyowanufaisha wahindi, waarabu na wazungu na nchi zao na kuwaachia mashimo

    Shida Tayari kunagap kati ya wawekezaji waarabu/wahindi , Wazungu na waafrika kwa maana ya Watanzania.. Lkn pia Bado wao naoneka a ni wajanja kuliko sisi.
  6. H

    Madini ya makaa ya mawe yanavyonufaisha Wahindi, Waarabu na Wazungu na kuwaachia mashimo wenye madini yao

    Kwa udogo wangu wa uelewa nimekua nikifanya uchunguzi mdogo wa jinsi sekta ya madini inavyo watajirisha wageni na kutuachia mashimo na faida chache ya Kodi ambayo ukiifatilia bado ni ndogo ukilinganisha na thamani ya madini husika. Tanzania tumebarikiwa madini mengi sana kama dhahabu...
  7. H

    Madini ya makaa ya mawe yanavyowanufaisha wahindi, waarabu na wazungu na nchi zao na kuwaachia mashimo

    Kwa udogo wangu wa uelewa nimekua nikifanya uchunguzi mdogo wa jinsi sekta ya madini inavyo watajirisha wageni na kutuachia mashimo na faida chache ya Kodi ambayo ukiifatilia bado ni ndogo ukilinganisha na thamani ya madini husika. Tanzania tumebarikiwa madini mengi sana kama dhahabu...
  8. H

    USHAURI: Rais Samia suluhisho pekee kwa Bandari Tanzania ni hili

    Ishu ni mipango ya wapigaji waliozoea kupiga huwezi wambiaa kitu kinachobana masilahi yao wakakubari never...
Back
Top Bottom