Recent content by Habibu mrisho

  1. H

    JamiiForums Tanzania Nimeamua Kulima kwa mara ya Pili kilimo cha mahindi

    Nahitaji msaada wa bwana shamba, HIVI KILO MOJA YA MAHINDI INA MBEGU AU PUNJE NGAPI? Kwamakadirio[emoji848]
  2. H

    JamiiForums Tanzania Mijadala ya Matatizo ya Magonjwa mbalimbali yaliyotolewa ufafanuzi

    Ugonjwa unaoitwa HENIA, je niugonjwa unao sababishwa na nini?? Au niwakurithi je?? Unatibika??? Sent using Jamii Forums mobile app
  3. H

    JamiiForums Tanzania Mtaalamu wa Dawa na Tiba: Ninakaribisha maswali kuhusu Magonjwa, Tiba na Dawa

    Nimesikia kuna ugonjwa kwajina la HENIA, unaopatikana sehem kama vile juu ya kitovu, nikauvimbe fulani kanauma sana, je nisababu gani inayopelekea ugonjwa huu???? Sent using Jamii Forums mobile app
  4. H

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi, weka swali linalokusumbua ili walimu na wazoefu wakusaidie

    Ila inategemea kama utakosa nafasi chuo utapangwa advance ila kwacombi husika uliyoijaza wewe kulingana naufaulu wako Sent using Jamii Forums mobile app
  5. H

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi, weka swali linalokusumbua ili walimu na wazoefu wakusaidie

    Haha!! Kijana kama uliomba first choise chuo lazima watakupanga kama kunnafasi. Na kama watakupanga chuo uwezekano wakuhamia tena advance hakuna, labda ukatae chuo uende advance privata. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. H

    JamiiForums Tanzania Naweza kwenda College gani na matokeo haya?

    Jaman huyu dadaangu nimpeleke cozi gani katika ngazi ya cheti?? Civic D, english D, kishwahil C, bioz D, chemistry D, math F and physi F. Naomben ufafanuzi je? Anaweza kuapply kweny cozo gani Sent using Jamii Forums mobile app
  7. H

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi, weka swali linalokusumbua ili walimu na wazoefu wakusaidie

    Jukwaahili linamsaada kwawanafunzi wanaosomea vyuo vyakati kweli?? Mbona sijibiwi Sent using Jamii Forums mobile app
  8. H

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi kama nitaweza kusoma Diploma ya Maji katika hili

    Hapo ndo nilikua napataka, mimi ndo namaliza mwaka huu certificate yakilimo. Nimeona hii secta kwasasa haina soko, sasa niambie nijitahid nipate ufaulu gani ili niweze kujiunga na vyuo vya maji diploma. Kunakoz naipenda, WATER SUPPLY AND SANITATION ENGINERING. je uwezekano wa kujichanganya huko...
  9. H

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi kama nitaweza kusoma Diploma ya Maji katika hili

    Soon Sent using Jamii Forums mobile app
  10. H

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi, weka swali linalokusumbua ili walimu na wazoefu wakusaidie

    Naombeni ufafanuzi wadau, nimemaliza cheti cha kilimo(certificate) nataka nihame cozi katika ngazi yadiploma nisomee kitu kingine, je nisomee nini??? Sent using Jamii Forums mobile app
  11. H

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi kama nitaweza kusoma Diploma ya Maji katika hili

    Nimemaliza certificate ya kilimo, nataka Diploma nisomee maji je inawezekana?
Back
Top Bottom