Recent content by haaaaaa

  1. haaaaaa

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Sitasomesha Wanafunzi waliopata ujauzito, siwezi kusomesha Wazazi

    we sasa unahamasisha uzinzi mashuleni,mwanao wa kike akikuomba ruhusa akapigwe sindano ya kuzuia mimba akiwa darasa la saba au form two utajisikiaje? au ukisikia walimu wanawagawia kondomu wanafunzi,na mwanao kapewa,utajisikiaje
  2. haaaaaa

    JamiiForums Tanzania Ajali ya Gari Karatu Arusha: Coaster yaua Wanafunzi na walimu wa Lucky Vincent (karibu wote)

    we mbaba ni mkoloni kwelikweli,wala watoto wako hawatanii kukueleza hilo.suala la ajali,unaweza usiende tour,na bado akabaki shuleni akaangukiwa na mti au shule ikaungua.kikubwa tu ni kuwaombea watoto wetu Mungu awalinde na sio kuwanyima haki zao za msingi
  3. haaaaaa

    JamiiForums Tanzania Mtazamo wangu kwa Flora (Mbasha) kufunga ndoa ya pili

    Bwana Yesu alipokutana na watu waliotaka kumpiga mawe yule mwanamke mzinzi,aliinamisha kichwa chake akachorachora chini kisha akawaambia" ambaye hajawai kutenda dhambi na awe wa kwanza kumtupia jiwe" alipoinua kichwa chake akakuta wote wametawanyika
  4. haaaaaa

    JamiiForums Tanzania Waziri Angela Kairuki: Uhakiki wa vyeti haujafanywa kwa Viongozi walio katika nafasi za kisiasa!

    kwa hiyo viongozi wakuu wetu kama mawaziri,wakuu wa mikoa,wilaya na wabunge wanaruhusiwa kufoji vyeti kwa kuwa tu wanajua kusoma na kuandika?hawatakiwi kuhakikiwa licha ya dhamana kubwa waliyonayo? tukumbuke hawa ndio watunga sera za nchi,wanaotunga sheria za nchi,kujadili bajeti ya nchi nk
  5. haaaaaa

    JamiiForums Tanzania Kati ya Mkuu wa Majeshi(CDF) na Mkuu wa Jeshi la Polisi(IGP) nani ana cheo kikubwa?

    mkuu wa wilaya na mkurugenzi wa wilaya nani mkubwa
  6. haaaaaa

    JamiiForums Tanzania Nimekuta uchafu na usaliti kwenye simu yake

    Mapenzi hayalazishwi
  7. haaaaaa

    JamiiForums Tanzania Jacob Steven (JB): Sijabarikiwa kupata mtoto mpaka sasa, sijawahi kuwa na mchepuko

    Tazama,NIMEWAPA AMRI ya kukanyaga nge na nguvu zote za yule adui,wala hakuna kitu kitakachowadhuru.Luka 10:19. pia Yohana 14:12 imeandikwa,"amin,amin nawaambieni,Yeye aniaminiye mimi,KAZI NIZIFANYAZO mimi,yeye naye ATAZIFANYA,naam na kubwa kuliko hizo atafanya.pia Marko 16:17 "na ishara hizi...
  8. haaaaaa

    JamiiForums Tanzania Jacob Steven (JB): Sijabarikiwa kupata mtoto mpaka sasa, sijawahi kuwa na mchepuko

    wa wapi wewe!! kama huyajui maandiko bora utulie
  9. haaaaaa

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ataendelea kumbeba Paul Makonda (?) mpaka lini?

    Hata kama ataendelea kuwa mkuu wa mkoa,lakini heshima yake mbele ya jamii imeshuka kwa kiwango kikubwa sana.
  10. haaaaaa

    JamiiForums Tanzania Yusuph Manji awekwa chini ya ulinzi siku 20, aiomba mahakama iingilie kati

    na anachong'ang'ania hasa kuishi hapa nchini ni kitu gani!! ningekuwa mie ndio Manji,ningeamisha makazi hapa Tanzania,nikaishi zangu hata Afrika kusini
  11. haaaaaa

    JamiiForums Tanzania Walokole mnaoimba usiku mnene Mungu aliwaambia kuwa Yeye hapendi usingizi?

    kuwa muwazi tu,hayo maombi yao yanakufanya ushindwe kuruka usiku kuwachezea wenzako au wanga wenzako washindwe kukutembelea usiku,au kufanya kikao chenu cha kubeba watoto wachanga,na inavyoonekana wewe ndio utakuwa mkuu wao,kuwa mkweli tu wamekuaribia program zako
  12. haaaaaa

    JamiiForums Tanzania Dawa za Kulevya: Nape aasa "Tusiwahukumu watu kwa Tuhuma, kubomoa brand ya mtu/taasisi ni sekunde"

    Makonda,tunakushukuru sana,usikatishwe tamaa na maneno ya wasiolitakia mema taifa letu,wanaotanguliza urafiki mbele badala ya kazi.mapambano ni magumu,ila pambana bila kuchoka,tunakuweka kwenye maombi,tunakufunika kwa maombi,hata Yusufu ndugu zake walipanga kumuangamiza,ila siku ya mwisho akawa...
  13. haaaaaa

    JamiiForums Tanzania Maalumu kwa ushauri wa kombination inayofaa kwenda nayo Form five

    mwambie akagombee udiwani
Back
Top Bottom