Recent content by haa mym

  1. haa mym

    JamiiForums Tanzania To see the unseen! Itakuwa kabla au baada ya Final SUBMISSION?

    Kama ameshindwa kujiheshimu basi afundishwe na ulimwengu
  2. haa mym

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: DCI Ramadhani Kingai anakuja kunitetea. Sasa itabidi aje anyooshe maelezo. I've fought this war for 30yrs, I know how it goes!

    Siku ya uchaguzi polisi waliamka na kuanzia kuwapiga watu risasi bila sababu? Kauli za kukinukisha,hakutakua na uchaguzi,tutafanya uasi,watatufanya Nini,no reform no election,uchaguzi hautofanyika hizi zilisemwa na viongozi gani? Mnapenda ugomvi halafu nguvu Amna mnataka muonewe huruma nyinyi...
  3. haa mym

    JamiiForums Tanzania Wakuu Tusipuuze ishu ya Dr. Emmanuel Nchimbi na taarifa zinazoitwa za Upotoshaji, mambo huwaga hivi hivi …..

    Ila wa kumpiga risasi 16 mchana kweupe wapo?
  4. haa mym

    JamiiForums Tanzania Wakuu Tusipuuze ishu ya Dr. Emmanuel Nchimbi na taarifa zinazoitwa za Upotoshaji, mambo huwaga hivi hivi …..

    Vijana wanavuta Skanka siku izi na simu zao za mikopo basi wakiwa na stimu zao kichwani wanaropoka tu.
  5. haa mym

    JamiiForums Tanzania Wakuu Tusipuuze ishu ya Dr. Emmanuel Nchimbi na taarifa zinazoitwa za Upotoshaji, mambo huwaga hivi hivi …..

    Sasa kama Taifa tumsikilize Mange na Maria ndio Think Tank yetu tutakua wazima kweli ? Wapinzani wa hii nchi wanaita hasira sana.
  6. haa mym

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: DCI Ramadhani Kingai anakuja kunitetea. Sasa itabidi aje anyooshe maelezo. I've fought this war for 30yrs, I know how it goes!

    Watu kuuwawa sio sawa na siungi mkono kuuana ila kabla ya kuuwawa walifanya vitendo ambavyo vingeachwa nchi isingetawalika na hakuna nchi ingekubali iingie kwenye ombwe la uongozi Hakuna Serikali inayopendwa Duniani na watu wake wote narudia tena hakuna kwaiyo wewe kutoka kuipenda jua wapi...
  7. haa mym

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: DCI Ramadhani Kingai anakuja kunitetea. Sasa itabidi aje anyooshe maelezo. I've fought this war for 30yrs, I know how it goes!

    Lisu ndie kaleta ubaya nchini kumbuka alinusurika kuuwawa na akakimbia nchi Mama Samia kaenda kumuona hospitali kipindi ambacho CCM ilikua inamuona Lisu kama Muhaini kwa kupingana na Magufuli bado Mama Samia kamrudisha bongo aje afanye siasa alichoamua kumlipa ni kukinukisha ili nchi isitawalike...
  8. haa mym

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: DCI Ramadhani Kingai anakuja kunitetea. Sasa itabidi aje anyooshe maelezo. I've fought this war for 30yrs, I know how it goes!

    Atutaki kusikia kelele tu baadae akiukumiwa kunyongwa mulimsifia Nchimbi kakosa kazi na ajira Sasa ivi anapambana na familia yake,mukamsifia mchaga Tesha kwamba kamanda na Traore wa bongo now kimya,mukampa kichwa Polepole nae kimya bado Lisu nae tutamsahau tu ngoja hukumu itoke
  9. haa mym

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: DCI Ramadhani Kingai anakuja kunitetea. Sasa itabidi aje anyooshe maelezo. I've fought this war for 30yrs, I know how it goes!

    Vituo vya polisi,sheli,vituo vya kupiga kura na miundombinu kadhaa ilichomwa moto.
  10. haa mym

    JamiiForums Tanzania Wakuu Tusipuuze ishu ya Dr. Emmanuel Nchimbi na taarifa zinazoitwa za Upotoshaji, mambo huwaga hivi hivi …..

    Niache Nini mkuu tunaambiana ukweli ndugu zanguni mitandao inatudanganya sana
  11. haa mym

    JamiiForums Tanzania Mohammed Kawaida: Mliona tulichokifanya, mwingine ajifanye mkubwa kuliko CCM aone

    CCM ni lidude likubwa sana.
  12. haa mym

    JamiiForums Tanzania CDF na IGP kwa uelekeo huu kamwe hawatopanda mahakamani kwenye kesi ya Lissu

    Walishilikiana na wapuuzi Fulani kutoka ng'anbo ila walifurahishwa na vijana wetu wazalendo.
  13. haa mym

    JamiiForums Tanzania CDF na IGP kwa uelekeo huu kamwe hawatopanda mahakamani kwenye kesi ya Lissu

    Ivi mulimuamini Cpt Tesha? Hakuna mchaga kamanda wa vita kamanda ametuahidi atarudi kabla ya uchaguzi mpaka Leo kimya Watanzania wengi wajinga sana.
  14. haa mym

    JamiiForums Tanzania Hivi tunaenda kutoa Pole Unguja Zanzibar kwa Utashi wetu au tunaambiwa usipokuja utakiona cha moto kwa Hasira za Visasi?

    Watu wanaenda kwa mapenzi na Rais wao na nafasi pia kama unayo ya kwenda maana hulazimishwi Kwenda ni vile jinsi ulivyoguswa na msiba.
  15. haa mym

    JamiiForums Tanzania Mufti wa Tanzania shekhe zubeir jitafakar.

    Rais anatukanwa kanisani kwa Gwajima kila siku unataka watu wakae kimya.
Back
Top Bottom