Kama ww ni kiongozi makini, makontena zaidi ya 2000 yapotee halafu unaulizwa unasema iko pooa tu. Mueleze kuna matatizo, tunayafanyia kazi. Hapo hata mkuu anakua hana la kusema. Wadhalilike tu kwani hamna namna. Pia hawafokei anawaeleza ukweli.
Hatuhangaiki lakini hivi inaingia akilini mshahara wa mwezio wa mwezi ww uupate kwa siku moja kwa kutofanya lolote la ajabu? Qualification za chini za mbunge wa Tanzania hata dereva wa serikali kamzidi.
Aiseee. Umesema ukweli kabisa. Ila ukitaka kuonyesha uzalendo wa kweli wafanye hili. Zitto na Kingu wameandika barua kjtopokea hizo posho. Zitto alianza toka bunge la 10 akaitwa msaliti. Siku hizi neno msaliti naogopa hata kulitumja, maana yake inabdilika mnoo.
Makonda toka anaingia ofisini aliahidi kudeal na tatizo la ardhi kinondoni. Amesimamia. Hata kama kavunja taratibumila nia inajulikana ni sawa na kuingia ofisini jumapili kuhakikisha unamalizia majukumu yamo ipasavyo.
Hizi ni habari njema kwa wabunge 2 toka vyama viwili tofauti kukubaliana kwenye jambo 1 la msingi, kukataa posho kandamizi kwetu wananchi. Mnastahili pongezi. Nawashauri muwapo bungeni mkiweza vaeni aina fulani ya sare tofauti na mavazi ya kawaida ili kila mmoja akiwaona na akiuliza sababu ya...
Mkiweza watajeni majina wote waliomkebehi Mh. Kingu na Mh. Zitto. Naomba waheshimiwa hawa watoe majinaama namba za wabunhe wenzao zilizowakebehi ili wapenda maendeleo tuujue ukweli. Hii nchi inaliwa na watunga sheria wenyewe. Tunawaunga mkono kwa asilimia mia.
Napenda kuwashauri CHADEMA waje na msimamo kuhusu hiii inayoitwa Sitting allowance kwa wabunge. Nasema hilo kwa kuwa naona kasi ya Magufuli si ya mchezo, atawapoteza kwa kufanya yale yoote yaliyosababisha wananchi wakose imani kwa CCM. Nawaomba CHADEMA waliwahi hili na kuikataa hii posho. The...
Jamani mwenge sio jambo la kuingiza kipato. Ni kweli kuna gharama ambazo naamini mara nyingi zinaonekana kubwa kwani ujanjaujanja umekuwepo sana miongoni mwetu. Sipingi kudhibiti gharama lakini kama symbol ya utaifa wetu, umoja wetu na uzalendo wetu sioni umuhimu wa kuziondoa mbio hizi. Mwenge...
Nakubaliana na ww Kishindo, lakini ikitokea ukamoata mwenye elimu na mwenye uwezo wa kuongoza inakuwa poa sana. Naamini asiekua na elimu bora ni rahisi mno kudanganyika.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.