Recent content by Gyn life

  1. G

    Naomba Muongozo wa kujamiana na mtu mwenye UKIMWI

    Aisee una ujasiri zaidi ya Adolf Hitler. Hakikisha kwanza kuna mtu wa kukuhudumia baada ya hapo kukukumbusha kumeza dawa, kukufulia nguo kukupa mlo kamili. Sio baadae unaanza kulaumu eti ndugu zako wamekutenga
  2. G

    Njooni tukumbuke nyakati ngumu tulizowahi pitia

    Wakati watu wakiandika mambo ya msingi waliyopitia maishani mwao mimi kilichonitesa since class 5 ni kuota chuchu kama za vibinti hii ilinitesa saana zaidi yani mana iliniathili pakubwa sana mfano Kuchekwa Kuwa mtu wa kushika tama Kukosa kujiamini Kuwa anti social, sijui mnaita introvert...
Back
Top Bottom