Recent content by Gwixue

  1. Gwixue

    Nyie mnaolala na malaya na machangudoa nafsi zenu zimekufa na ndio maana mikosi inawaandama

    Turudi kwenye mifano niliokupa hapo kwenye stori za maandiko; we unadhani mke wa Uria mhiti (Mama wa Suleiman) alikuwa na tatizo gani nafsini mwake!!? Sometimes unakutana na malaya ili azaliwe SULEIMAN. Kwa matumizi ya law of attraction WEWE hupaswi kuchapa malaya sababu tayari una-attract...
  2. Gwixue

    Nyie mnaolala na malaya na machangudoa nafsi zenu zimekufa na ndio maana mikosi inawaandama

    Kwa wakristo ukisoma ukoo wa Yesu kwenye kitabu cha Mathayo kuna majina yako kwenye ukoo alafu background yao ni makahaba au malaya kama alivyoandika mwandishi mf. kuna jina Rahabu, Mke wa Uria (Mama wa Suleiman), na kuna mwanamke aliitwa Tamari. Hakuna uhusiano wowote wa kufa kiroho au kubeba...
  3. Gwixue

    Wanafunzi wengi waliomaliza vyuo vikuu hawana reasoning and cognitive skills

    Swali la msingi sana hili; na binafsi nilipokuwa nafatilia uzi wa mwandishi nilitegemea mwisho atupe recommendations kama legend graduates wao ilikuaje wana hizo skills!!!
  4. Gwixue

    Natafuta Audio Clip ya zaidi ya Dk 5 ambayo Rais Samia anazungumza Kiingereza

    Hayati B.W Mkapa alikuwa mwamahabari by professional hivyo kwake midahalo ilikuwa ni sehemu ya maisha; ni tofauti na mtu kama hayati JPM ambae by professional alikuwa anashinda maabara. Ila lugha sidhani kama ni kipaumbele sana wapo marais wa mataifa makubwa duniani hawaongei "English" la...
  5. Gwixue

    Uhamiaji Musoma, huyu mama kutoka Burundi angefariki damu yake ingewalilia

    Imekuwa kadhia siku hizi eti nchini kwako ni lazima usafiri ukiwa na nyaraka zinazothibitisha wewe ni raia; tulisimamishwa Chalinze pale na hao makonstebo wakaomba kila mtu atoe kitambulisho cha taifa... ilikuwa fujo kwenye gari wengi hawana ufahamu kwamba ni lazima uwe na utambulisho safarini...
  6. Gwixue

    TABORA: Watu 9 wakamatwa kwa tuhuma za mauaji na kuuza viungo vya binadamu, damu ya mtu inauzwa Tsh 600,000

    Sasa unataka kutuambia yule dada aliemuua mama ake Moshi kwa kushirikiana na mganga nae ni msukuma au ni kutoka kanda ya ziwa!!? Ebu fatilia vizuri visa vya waganga wa kienyeji kabla hujaconclude kiukanda, ushirikina upo maeneo yote primitive na ambayo hayana mchanganyiko mkubwa wa watu. Alaf...
  7. Gwixue

    Bilionea mwingine kutoka jamii ya Kimasai aibuka nchini, ni mchimbaji wa Madini ya Rubi

    Gharama za kuchimba Tani 5 za madini huenda zikazidi gharama ya Bili 1.7 kama uchimbaji ni wa Open space,!! Kuna walakini hapo...
  8. Gwixue

    Matajiri wa Forex mnaendeleaje?

    😂😂😂😂
Back
Top Bottom