Recent content by Gwili

  1. Gwili

    JamiiForums Tanzania Idadi ya miradi mikubwa inayotekelezwa na Rais Samia mkoani Mbeya

    NISAIDIE KUJUA BARABARA ZA MITAA KWA MBEYA NI MITAA IPI?
  2. Gwili

    JamiiForums Tanzania Wana jamii nabisha hodi

    Shukran sana
  3. Gwili

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Kijiji kizima chafutwa kwa tetemeko la ardhi nchini Morocco isipokuwa majengo mawili tu ya Msikiti

    Majanga mengine ni ufundi wa watu
  4. Gwili

    JamiiForums Tanzania Ndoto ya kuwa darasani au mazingira ya shule ina maana gani?

    NIKUOMBE FANYA HARAKA USHUGHULIKIE HIYO NDOTO..NI ISHARA YA KWAMBA KUNA MAMBO YABAENDELEA ULIMWENGU WA ROHO YANAYO KURUDISHA NYUMA, HUSONGI MBELE KIUCHUMI KWA SABABU BADO KUBA KIKWAZO KINACHO KURUDISHA NYUMA NDIO MAANA UNAONA HUFANIKIWI KWWNYE MITIHANI YAKO...JAMBO LA KUFANYA 1. OMBA REHEMA NA...
  5. Gwili

    JamiiForums Tanzania Mwenye kufahamu hii nguvu ya kiroho inatoka wapi

    NDUGU NAONA BADO HUNA UFAHAMU KUHUSU KITU KINAITWA MIZIMU, MIZIMU NI AINA YA PEPO WANAO FANYA MAGANO AU MAKUBALIANO NA FAMILIA UKOO AU MTU BINAFSI.SASA KILICHO TOKEA KWENYE FAMILIA YENU NI KWAMBA KUNA MAAGANO YA MIUNGU KATIKA FAMILIA KINACHO ZUNGUMZA HAPO SIO MAREHEMU BALI NI MIUNGU MAANA KI...
  6. Gwili

    JamiiForums Tanzania Kuna aina ya Ukristo ambayo ni ushetani

    NIKUOE POLE NI SEME KWAMBA ULOKOLE SIO UJINGA WALA USHAMBA PUNGUZA MIHEMKO, HAPO TATIZO HALIPO KWENYE WOKOVU TATIZO LIPO KWA MKEO NI MJINGA HAELEWI ANACHO KIFANYA ...MAANDIKO YANASEMA HIVI.... “Lakini mtu ye yote asiyewatunza walio wake, yaani, wale wa nyumbani mwake hasa, ameikana Imani, tena...
  7. Gwili

    JamiiForums Tanzania Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

    Ndugu wewe unaona kama ushoga umeongezeka ni kwa sababu sasa hivi kuna ukubwa wa ongezeko la maendeleo ya sayansi taarifa unazipata kwa haraka, lakini nikwambie vitendo hivi vya ushoga na usagaji vimeanza muda mrefu huku mtaani tunafahamu lakini jamii ilikuwa ikilifumbua macho
  8. Gwili

    JamiiForums Tanzania Kijana aliyebuni mtambo wa kuzalisha petrol akatishwa tamaa na Serikali. Serikali inaua ndoto za vijana wabunifu

    Wamsaidie ili waue mitaji yao..BONGO ubunifu utakufa nao
  9. Gwili

    JamiiForums Tanzania Kijerumani: Lugha yenye fursa

    Fursa ninayo iona zaidi ni kwenda kuwatunza wazee baasi
  10. Gwili

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kijana ambaye bado hujaingia kwenye ndoa usithubutu kufanya makosa haya

    Hakuna baya ni maisha yenye uhalisia tuna uzoefu
  11. Gwili

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kijana ambaye bado hujaingia kwenye ndoa usithubutu kufanya makosa haya

    Sio wafanyakazi wote lakini baadhi yao wapo vizuri
  12. Gwili

    JamiiForums Tanzania Wana jamii nabisha hodi

    Asante saaana
  13. Gwili

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kijana ambaye bado hujaingia kwenye ndoa usithubutu kufanya makosa haya

    Nilizungumza kwa upande mmoja wa wanao umizwa .nimekuelewa
  14. Gwili

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kijana ambaye bado hujaingia kwenye ndoa usithubutu kufanya makosa haya

    Ndoa nyingi zipo hivyo fuatilia
  15. Gwili

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kijana ambaye bado hujaingia kwenye ndoa usithubutu kufanya makosa haya

    Ngumu saaana mpaka apatikane
Back
Top Bottom