Natafuta kijana mwenye uwezo wa kutumia AI vizuri haswa kwenye interior design za majengo.
Kama upo na ujuzi huo nitafute tufanye kazi
Kazi ipo Dar es salaam hivyo ni vizuri ukiwa Dar es salaam kama upo mkoani utanijulisha pia tuone tunafanyaje kazi.
Kazi itakuwa na mshahara wa kila mwezi na...
Leo Trump amekuwa mtu wa kuaminika kwenu? Maajabu haya, huyu Trump si ndio kila kauli yake kuhusu vita mlikuwa mnaiponda na kusema mzee ni muongo leo amekuwa wa kuaminiwa hadi na nyinyi?
Kwahiyo mlianzisha uzi kwaajili ya kuiponda marekani ikifungwa? Naona imeshinda chuma 4 saafi wote mmepoteana hadi muanzisha uzi
USA timu tunayo na tunalitaka kombe nyie kaeni na mazoea tuwashangaze
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.