Recent content by Gwedu Gwedu

  1. G

    JamiiForums Tanzania Mlinzi wa Rais Samia aanguka ghafla wakati wa kampeni Mbalizi, Mbeya

    Nashukuru kwa kuwa muungwana,Inaonyesha upo deep kwa taarifa,kama umekubali kuhusu embassy naomba Ufanye uchunguzi wa kina kuhusu kutoa Tigo bro
  2. G

    JamiiForums Tanzania Mlinzi wa Rais Samia aanguka ghafla wakati wa kampeni Mbalizi, Mbeya

    Dogo,nakuhakikishia huyo mama hadi Tigo anatoa,pia fegi embassy anavuta,,zaidi anawasaga wenzake kama huamini jaribu kufanya tafiti binafs
  3. G

    JamiiForums Tanzania Upako na siasa.( Sihasa)

    Habari wakuu,, Salamu ki ufupi tuu, Leo nilienda kwenye Ibada katika kanisa la arise and shine, Kwa Imani yangu Mimi binafsi ninamkubali sana Tena sana huyu bwana Bulldoza mwamposa.( Kila MTU na Imani yake kwa hili tusilijadili) Kama kawaida baada ya Ibada kuisha Kuna jambo moja kwangu...
  4. G

    JamiiForums Tanzania Wana jamvi heshima kwenu naomba kujua process za kutoka nchi hii maana naona ni miyayusho tu natamani nizamie Korea kusini huko

    Ila nchi ya kwenda ni US,,,Ila kabla ya maongez hakikisha unamiliki passport
  5. G

    JamiiForums Tanzania Tamba na Jicho 👁 la Ustawi wa Jamii Mtaa kwa Mtaa 🇹🇿

    Ni Bora wewe mh umekuwa rais maana una IQ kuubwa kumzidi boss wako
  6. G

    JamiiForums Tanzania Mwenye uzoefu ni bank gani hapa Dar naweza kwenda kulipia Visa kwa ajiri ya appointment US embassy?

    Asante,,Hadi wa confirm wamepata inatumia siku ngap? Nimelipia siku ya tatu Leo Bado hawajanipa jibu Ila kwa njia ya bank
  7. G

    JamiiForums Tanzania Napataje barua ya uthibitisho wa safari? Ili kupata passport?

    Kwa nn nimpige?Kuna vitu ni confidential ( unajuaje labda nataka kumpa barua ya mualiko yeye ai edit?) Acha ujuaji mkuu
  8. G

    JamiiForums Tanzania Napataje barua ya uthibitisho wa safari? Ili kupata passport?

    Kama upo seriously njoo inbox nitakupatia barua ya mualiko
  9. G

    JamiiForums Tanzania Mwenye uzoefu ni bank gani hapa Dar naweza kwenda kulipia Visa kwa ajiri ya appointment US embassy?

    ipoa,ndio kama hivi tunaomba msaada kwa wazoefu mkuu
  10. G

    JamiiForums Tanzania Mwenye uzoefu ni bank gani hapa Dar naweza kwenda kulipia Visa kwa ajiri ya appointment US embassy?

    Pamoja mkuu,,IVR account number ninayo,kwa hiyo niende bank gani wew uliyoitumia kwa uhakika?
  11. G

    JamiiForums Tanzania Mwenye uzoefu ni bank gani hapa Dar naweza kwenda kulipia Visa kwa ajiri ya appointment US embassy?

    Kwa hiyo ni bank Gani uhakika zaidi ndio wanazolipia!? Uki olozesha itakuwa vizur zaidi.
Back
Top Bottom