vw cars hazisumbuagi kabisa, mimi natumia sedan vw nimenunua in 2011 mpya, mpaka leo haijawai sumbua, nimebadili spark plugs only mara moja na tairi.Naishi china uenda labda kwa kua barabara ni nzuri, ila generally speaking germany cars ni imara sana.
yes, kuna ma agent wa kibongo kweli wanaweza toa bei.za ajabu. Mimi pia ni purchasing agent tunaweza kukupatia bei nzuri na ukauza na kupata faida, tuna ofisi dar na china.Sishauri mnunue vitu alibaba maana on alibaba wengi ni ma agent yani wawakirishi wa viwanda vya kichina vinavyotafuta...
Mnasihi,
Hiki kitu ulicho ongea uenda kina ukweli. Kuna uwezekano wenyewe ndiyo wanazikwapua kufanyia hayo uliotaja.Alafu hapo utegemee kuwe na uchunguzi..hahaaa
sehemu ilikua ni kichaka kabisa.Nafikiri wewe hujui nchi ya china ilivyo na huwezo mkubwa ki uchumi na mengineyo.Na pia kwenye ujezi hawatumii tofali ndugu yangu wanatumia material tofauti na kwa kuunganisha already made components.
nyie endeleeni.kubishana tu, mchina hawezi jenga in 6 days and blah.blah.Wakati ma engineers washamaliza na kukabidhi hospitali to Wuhan.govenment on feb 2nd jumapiri😂😂
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.