Stupid gvnt mambo ya msingi wanayaacha kesi kibao ziko mahakan wanadai pesa hakuna sasa zakuendeshea rufaa wanazitoa wapi,hawa nyinyiem wanasuka njama.bt one day yes!
Ndg zangu jamaa zangu na marafiki zangu. Naamini katika idara za serikali UHAMIAJI ni mojawapo wa idara zenye wasomi wengu, Napenda kujua je vigezo wanavyotaja kwa kazi ya uhamiaji hawavingatii?maana kuna bwana mmoja nimekutana nae anongea zaid ya lugha tano kikiwemo kiarabu, na ni...
Muhongo huon wiz huu? Nimepa umeme 10,000 halafu cheki wezi walivyochanganua then change hakuna.....
Summary
units :18.20 kwh
total unt cost:tsh4027.85
tax(VAT18%EWURA1%REA3%):tsh886.13
fixed amount:tsh 3841.00tena
tax(VAT18%EWURA1%REA3%tsh845.02
total cost :9860.00 je hiyo...
Ee patamu hapo,mr.dhaifu a.k.a wa kucheka,alipokuwa akihutubia kwa mara ya kwanza aliwahi kusema "I may be wearing a smile,but it could be exceptive,I fame on issue"akimaanisha anaweza akatabasamu,lkn ana msimamo ktk mambo ya msingi.kumbe ni kucheka tu ***#***#="*##* hovyo kabisa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.