Recent content by gwamunsebho

  1. G

    Mshahara wa Mwalimu

    733000 basic kama una helsb take home 463000
  2. G

    Kyela: Mwalimu mmoja wa shule ya sekoondari Kyela ampiga mwanafunzi kwa fimbo zisizo na idadi hadi kulazwa

    Umenena vyema waachwe tu shauri ya wazazi wao waalimu muache kujitafutia matatizo. Ona kama huyu mwanafunzi alivyojibu so kujisumbua tu Sent using Jamii Forums mobile app
  3. G

    Kyela: Mwalimu mmoja wa shule ya sekoondari Kyela ampiga mwanafunzi kwa fimbo zisizo na idadi hadi kulazwa

    Kama wewe ulichapwa viwili tu hao wengine hawachapwi kama wewe lazima tujiulize there is something wrong Kwa wanafunzi pia tusiwashupalie only teachers Sent using Jamii Forums mobile app
  4. G

    Natafuta chuo cha ualimu elimu maalumu

    Kwa level ya degree ni udom ila level zingine Kwa serikali ni Patandi tu Sent using Jamii Forums mobile app
  5. G

    Kwa suala la Pierre Liquid, Makonda unastahili pongezi

    Nimekuelewa Goppii Sent using Jamii Forums mobile app
  6. G

    Kwa suala la Pierre Liquid, Makonda unastahili pongezi

    Hata kama komedian kuna vitu tuwe serious unampa promo mtu kama huyo watoto wetu wanajifunza Nini na ndio maana ukifungua mitandao utaona akina lokole na wenzie wapo bize na ushoga wao hii ndio tz Sent using Jamii Forums mobile app
  7. G

    Kyela: Mwalimu mmoja wa shule ya sekoondari Kyela ampiga mwanafunzi kwa fimbo zisizo na idadi hadi kulazwa

    Hata polisi nadhani hajaenda mbona hajathibitisha Sent using Jamii Forums mobile app
  8. G

    Kyela: Mwalimu mmoja wa shule ya sekoondari Kyela ampiga mwanafunzi kwa fimbo zisizo na idadi hadi kulazwa

    Hii habari ni ya uongo huyo kinundu ni muongo Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom