Ni mtazamo wangu tu, Mnaweza kunikosoa na kunielekeza kilicho sahihi zaidi.
Kuna watu wanalalamika eti kwanini serikali yetu ya TZ haifungi bar, vilabu masoko kama kariakoo na kwingine kote.
Jaman tuwe waelewa na wenye kufikir kuliko kulaum bila kua na ufaham wa kina.
Hivi wanaolalamika...
Naomba kuongezewa maarifa au ufaham juu hili swala la vyeti fake. Namaanisha hiv swala la kutambua vyeti fake linafanywa kwa style gan? Je, watumia macho ya kawaida kwa kutazama tu au kuna mashine maalum inayotumika kuvitambua? Kama ni macho ya kawaida bas ni sawa lakin kuna njia tofaut bas hapo...
Nimekupata ila hilo swala ni huko serkalini mana huko wanaangalia vyeti sana kuliko uwezo wa mtu kufanya kazi ila kwa private unapata tena kazi nzuri tu kama una uwezo kufanya kazi bas chet cha form 4 huku ni urembo mkuu.
Hujanielewa mkuu. Body ya uzi huu nimemaanisha sio lazima usome had level kubwa ya elimu. Unaweza kua hujafika hata form4 na ukapata kazi. Vyet nilivyo navyo mm ni vya kawaida hata form4 sikumaliza
Yaan mkuu nimegundua vijana wamekatishwa tamaa na wenye degree kias kwamba wanahis ni ngum kupata ajira kwa hali yao. Ndomana nimewatia moyo kuabinawezekana coz mi nafanya kazi bila hayo mavyet na sijui kama ntakuja kuyafanya.
Ni kweli mkuu. Ila mim kinacho niuma ni pale ninapoona mtu mwenye degree akimkatisha tamaa mwenye elimu ndogo ya form 4 au ambae haja maliza hata hyo form4 kua hawez kupata kazi kwa elimu hyo. Badala ya kumpa fact kua inabid aongeze skills atapata tu mchongo.
Naomba waheshimiwa mnielewe kwenye huu uzi nilioandika hapa...
Kumekua na tabia ya watu waliosoma degree au masters au level zingine za elimu ya juu kuwakatisha tamaa wale ambao hawaja fanikisha kupata elimu hizo.
Leo nataka tuwekane sawa ili kama ulikatishwa tamaa na kuhis huwez kupata...
Mkuu nakukumbusha tu kua kupata nafas ya kuajiriwa sio lazima uwe umesoma sana. So hata kama waliosoma wawe milion wanaweza wakawa kijiwen halaf alieishia o level akapata kitengo cha mana na akaja kuwapa support hao unaowaita wamesoma. Mfano mzur ni mm mwenyew, mim niliishia form3 sabab za...
Ahsante kwa ushaur ila kwasasa ndo najipanga kufanya hio natakiwa mwaka huu november nifanye qt then mwakan nifanye pc. So wakat nasubir hy miaka 2 ndo nakomaa pia kutafuta ajira
Namaanisha hivi...
Mim sikufanikiwa kuhitim form four niliishia form three kutokana na ishu za uchumi. Lakini kutokana na uwezo wangu ulikua mzuri kiakili yaani sikua kilaza. Baada ya kupata kibarua kiwandan nilifanikiwa kujilipia technical college pale techno brain(Dar es salaam) ambako wao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.