Recent content by gwambala

  1. gwambala

    Bata ameamuwa kulipiza kisasi oneni jamani

    duh huyo lazma atungue wote hao!
  2. gwambala

    chonde wakuu!

    mmh kilaza anavyojinanihiuuu sina hakika naye kama atatoa hiyo kitu
  3. gwambala

    chonde wakuu!

    yeah itakuwa nzuri kama tutaipata humu,clouds mlolongo mkuu
  4. gwambala

    chonde wakuu!

    samahani wakuu mwenye video au sauti ya sera za mgombea wetu wa igunga kupitia updp awakilishe tafadharini,nimependa zile sera za pawa tila,mpango kutoka yugoslavia na nyinginezo zisizotekelezeka alafu ijadiliwe kwa umakini
  5. gwambala

    "Thank you JK" - Nizar Halfan

    kama kawaida naona tozz anaendelea na majukumu yake
  6. gwambala

    Umeme shida ! Kila kitu shida !

    ha ha ha ah hiii kweli kabisa!
  7. gwambala

    tufunze maadili kwa watoto wetu ktk uvaaji

    hawajui nguo zinavaliwa wapi ni wapi na ipi ni wapi,wanaweka tu ovyohovyoooo
  8. gwambala

    jamani Wabongo uvaaji gani huu?

    hamna kitu humo spot kibao,imekaa kama kitomoto yenye homa
  9. gwambala

    tufunze maadili kwa watoto wetu ktk uvaaji

    aaaaah hizi si ndo zilezile za uswazi kwetu
  10. gwambala

    JK mkali wa "Kunyunyusa" NGOMA

    huyo ndo daktari bwaaaana aka fundi
  11. gwambala

    Mahari Zetu Wakurya

    hizi mahari nazo kiboko!
  12. gwambala

    cheko bomba

    batasamu mixa cheko
  13. gwambala

    msamba mwingine!

    msamba wa kivingine
  14. gwambala

    Wanafunzi IFM wanatarajiwa kuandamana leo

    kuandamana haki yao lakini hoja ndo msingi
Back
Top Bottom