Kama hujahongwa lakini..ila huwa ni hivi Auditing reports huwa inakitu kinaitwa opinion(Maoni) ambayo lazima yawe impartial(huru) kwa chombo kingine kujiridhisha hivyo matumizi ya lugha za Auditing huwa sio conclusive statement ila binding statements na huwa zipo hivyohivyo kama ulivoweza kuiona...
Hahahahahah kweli bhana mimi pia nilisole nikapiga div 11 ya 10 miaka kadhaa iliyopita tulikuwa tunapiga pindi za kufa mtu pale opposit na uhazili,shule ya Kanyeye na maeneo kibao tu ikiwemo Boyz hahahah...Pia wali wa 200/= pale kwa Mama Mada ulikuwa haukauki yaani usiposhiba msosi wa Mzee...
Ukijihisi unaakili mbovu jipime kwa hawa Interahamwe wa serikali mbili ukiona mawazo yako na yao yanafanana ujue umeshakuwa na kichaa na unaishi uraiani kimakosa
Inategemea kama hawapo swali lazima lijibiwe na yeyote anayekabidhiwa kukaimu especially kama wahusika wanaudhuru wa kutembelewa na wenzi wao kutoka singida au Dar kwani wewe umesahau Lionchawene alivyoshikwa ugoni Singida?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.