Recent content by gwajae

  1. gwajae

    JamiiForums Tanzania Nataka kuachana na ualimu haraka. Nikimbilie wapi?

    "Kupata kazi ni kazi, ukipata kazi fanya kazi, ukichezea kazi ni kazi kupata kazi" Tafakari.
  2. gwajae

    JamiiForums Tanzania Ukiitwa kwenye usaili wa Utumishi wa Umma, Jipange

    Congrats ndugu.....zamu ijayo ni yako.
  3. gwajae

    JamiiForums Tanzania Tunda alilokula Adam ni tunda gani?

    Wanajamii forums ni muda mrefu sana nimekuwa nikipata ukakasi na kile kitendo walichokifanya Adam na Hawa pale Eden.Hivi "kula tunda la katikati" ukweli wake ni upi?Wengine hudai ni kweli walichuma tunda la mti uliokuwa katikati na wengine hudai walizini.Dhana ipi ina ukweli hapa?
  4. gwajae

    JamiiForums Tanzania Ukomo wa matumizi ya fedha ya bajeti ya mwaka

    Hivi ni kweli kuwa inapofika tarehe 01.07. ya kila mwaka ndio hua ni mwisho wa matumizi ya fedha ya bajeti ya mwaka uliopita? Kwa mfano: Kama mtu ilikuwa uajiriwe kwa bajeti ya fedha ya 2021/2022 bahati mbaya ikatokea shida mambo hayakukaa sawa, inapofika tarehe 01.07 ndo basi tena imekula...
  5. gwajae

    JamiiForums Tanzania Kukataliwa kibali wakati uliqualify usaili

    Nashukuru sana ndugu yangu....nitapambana hadi tone la mwisho.Mungu akubariki sanaaa.
  6. gwajae

    JamiiForums Tanzania Kukataliwa kibali wakati uliqualify usaili

    Nashukuru sana.
  7. gwajae

    JamiiForums Tanzania Kukataliwa kibali wakati uliqualify usaili

    Ahsante kaka.
  8. gwajae

    JamiiForums Tanzania Kukataliwa kibali wakati uliqualify usaili

    Ahsante sana ndugu yangu.....nakuinbox unisaidie no ya rafkiako huyo.
  9. gwajae

    JamiiForums Tanzania Kukataliwa kibali wakati uliqualify usaili

    Nashukuru sana ndugu yangu kwa ushauri mzuri....ngoja niufanyie kazi.
  10. gwajae

    JamiiForums Tanzania Kukataliwa kibali wakati uliqualify usaili

    Naishi nae vizuri sana kaka, sina tatizo naye. Naomba ushauri nifanyaje hapo lilipofikia. Chuoni wamenambia nafasi yangu bado ipo.
  11. gwajae

    JamiiForums Tanzania Kukataliwa kibali wakati uliqualify usaili

    Naomba ushauri wenu wanajamii forum: Nilifanya usaili kuhamia university km warden nikitokea Sekondari na nikaqualify. Chuo kikatuma ombi la vibali vya uhamisho Utumishi Dodoma, sasa vibali vimetoka ila baadhi ya walioombewa nikiwepo mm utumishi wamekatalia eti kwa sababu ya kwamba mwajiri...
  12. gwajae

    JamiiForums Tanzania DIARA angeweza kudaka penalt zote, sema aliamua kuwapa presha mashabiki wa Simba

    Yanga ni ya moto mnooo
Back
Top Bottom