Kukataliwa kibali wakati uliqualify usaili

Kukataliwa kibali wakati uliqualify usaili

Ndugu yangu pole sana...NENDA DODOMA UTUMISHI kawaeleze watakupa barua hiyo ni issue ndogo sana. Kama upo mbali sana wapigie utumishi namba hii 026 216 0240 piga siku za kazi tu na muda wa kazi tu ...simu hiyo ni huduma kwa wateja tena ni bure kabisa kama uvyopiga voda, Airtel n.k yatatokea maelekezo utafuata na mwisho utaongea na mtoa huduma
Nashukuru sana.
 
PANDA BUS NENDA DODOMA HARAKA
Nenda Wizara ya Utumishi ofisi zao zipo UDOM nenda kajieleze watakuelewa tu...
Ukichelewa zaidi ya mwezi mmoja nafas yako inapewa mtu mwingine...
All in all mchawi wako namba 1 ni Mkuu wako wa shule, maanina zake
Nashukuru sana ndugu yangu....nitapambana hadi tone la mwisho.Mungu akubariki sanaaa.
 
Back
Top Bottom