Recent content by gva

  1. G

    JamiiForums Tanzania Siku zinayoyoma siioni ile Bombadia yetu iliyotiwa korokoroni Canada,naona umwagaji damu tu nchini

    [emoji23] [emoji23] [emoji23]
  2. G

    JamiiForums Tanzania Siku zinayoyoma siioni ile Bombadia yetu iliyotiwa korokoroni Canada,naona umwagaji damu tu nchini

    yaan ww unauoga kama mke aliyeolewa alafu anaogopa kuvua nguo kwa mmewe
  3. G

    JamiiForums Tanzania Wenye fremu za Biashara Dar walia njaa

    uchumi unapaaa? aya sasa na umepaa kweli kweli ; cjajua utatua wapi jamani
  4. G

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Kesi ya Joseph Mbilinyi(Sugu) na Masonga yaunguruma! Warudishwa rumande mpaka Februari 9, 2018

    aisee nikiwa nasoma post za watu humu wanao jiona wamesoma halafu wanakosoa watu wanao tetea haki za watu wanao onewa hua nakasirika sanaa (mungu niweke mbali na hali hiyoo amen)
  5. G

    JamiiForums Tanzania Msaada: Daktari wa mifugo natafuta kazi.

    Hahahaaa dah kweli lakini
  6. G

    JamiiForums Tanzania Msaada: Daktari wa mifugo natafuta kazi.

    Kwa nini kiongozi.Unamaanisha wabongo wengi hatuwezi team work?
  7. G

    JamiiForums Tanzania Msaada: Daktari wa mifugo natafuta kazi.

    Na kaka yangu
  8. G

    JamiiForums Tanzania Msaada: Daktari wa mifugo natafuta kazi.

    Wazo hilo lipo mkuu ila kuna jamaa aliniambia sehemu za Nzega vijijini huko wanauza bei rahisi.Tunataka tuwe tunanunua wale waliokonda na kunenepesha baada ya hapo tunasafirisha kwenda kwenye minada mikubwa na pia kuanzisha bucha ya kisasa maeneo ya mjini.
  9. G

    JamiiForums Tanzania Msaada: Daktari wa mifugo natafuta kazi.

    Shinyanga
  10. G

    JamiiForums Tanzania Msaada: Daktari wa mifugo natafuta kazi.

    Nimeiona mkuu
  11. G

    JamiiForums Tanzania Msaada: Daktari wa mifugo natafuta kazi.

    Nimemuelewa sana.mdau hapo juu, na siwezi kuanza.na.mtaji wa 10M,nitautoa wapi?
  12. G

    JamiiForums Tanzania Wachawi wanapata faida gani?

    YESU ni bwana wa vita jamani maana waganga ni pacha na wachawi
  13. G

    JamiiForums Tanzania Msaada: Daktari wa mifugo natafuta kazi.

    Asante mkuu ngoja niziangalie.
  14. G

    JamiiForums Tanzania Msaada: Daktari wa mifugo natafuta kazi.

    Kweli mkuu hata mimi nakomaa na ambulation huku nikiumiza kichwa nipate mtaji
Back
Top Bottom