Job K
JF-Expert Member
- Oct 4, 2010
- 9,314
- 7,169
Mkuu Prof. Assey sema ni Prof. wa gross anatomy,, wacha kabisa ni habari nyingine hiyo!Kaza moyo...shule ya pale vet c mchezo..naijua kdgo namkumbuka SNA prof assey wa anatomy
Mkuu Prof. Assey sema ni Prof. wa gross anatomy,, wacha kabisa ni habari nyingine hiyo!Kaza moyo...shule ya pale vet c mchezo..naijua kdgo namkumbuka SNA prof assey wa anatomy
Namkubali SNA..nakumbuka zle practical hasa myology..ilkua shdaMkuu Prof. Assey sema ni Prof. wa gross anatomy,, wacha kabisa ni habari nyingine hiyo!
Huyu jamaa ni mjinga tu si aende vijijini hamna madactariInatia hasira sana, najua msuli wa vet pale SUA!! Pole sana mdau na Mungu akujaalie hitaji lako!!
Myology Mkuu ni Prof. Mbassa! Prof. Assey yeye ni mifupa!Namkubali SNA..nakumbuka zle practical hasa myology..ilkua shda
Unajua ulichoandika?Huyu jamaa ni mjinga tu si aende vijijini hamna madactari
Najua sana wasomi wetu wanajua kujilegeza sanaUnajua ulichoandika?
Poa mkuu,ulisoma course gani kama hutojali?Najua sana wasomi wetu wanajua kujilegeza sana
Wafanyakazi wanatembea na vyeti kila Mahali kwenye bahasha? Ni utumwa iliojePoa mkuu,ulisoma course gani kama hutojali?
Tatizo kubwa Kwa wahitimu wengi hasa Wa SUA ni mtaji,atapataje mtaji bila kutembea na bahasha kwanza mkuu?
Mkuu mimi ni graduate bora yeye ni dactari, ana mtaji kazi , akifanya kazi anapewa hela, anaenda nunua dawa anakuja mchoma ng'ombe analipwa pesa yakeTatizo kubwa Kwa wahitimu wengi hasa Wa SUA ni mtaji,atapataje mtaji bila kutembea na bahasha kwanza mkuu?
Asante kwa ushauriKijana nenda Mpwapwa, mtafute Dr. Bahemu huyu mama ana chuo cha mifugo pale naamini utapata! Msuli wa VET niliukimbia mapeeeemaaa! Niliwaona akina Prof. Mutayoba na wenzake akina Prof. Balthazar, Prof. Max na kijana wao Dr. Mushi wanataka kunila kichwa! Serikali inajidai kulinga tu lakini mahitaji ni makubwa sana! Pia fuatilia NGOs zinazofanya utafiti wa mifugo na wanyamapori hakika kijana utapata!
Kweli mkuu hata hivyo mapambano yanaendelea kibishi.Aise pole sana mkuu .... Hiyo ni intake ya akina otieno bila shaka but tuendelee kupambana mkuu na imani siku moja milango itafunguka.....
Asante kwa ushauri, nitaufanyia kazi.Mkuu mimi ni graduate bora yeye ni dactari, ana mtaji kazi , akifanya kazi anapewa hela, anaenda nunua dawa anakuja mchoma ng'ombe analipwa pesa yake
Nilimaliza chuo kama yeye , miaka 7 iliyopita
Sikwenda kwenye ajira na nilipangwa kazi.
Mtaji wangu wa kwanza kabisa ulikuwaga sii zaidi ya laki 2, mwingine nilipata mbele ya safari.
Wakati huo nilikuwa nakaa mjini chumba cha 10000
Nakula uswahili sii zaidi ya 2000 kwa siku matumizi hayakufika hata 100000 kwa mwezi pamoja na vocha kwa mwezi, nimevaa nguo nilizonunua kwa bumu kwa miaka mingi sana , kwa kifupi sikuwa na matumizi.
Miaka 3 tu baadaye niliweza kwenda dubai, ukiwa mtafutaji wa nia unayehaso mungu atakuona tuuu. Utafanikiwa tuu , kuwaza kuimba , kuifanya usiku na mchana biashara yako, kuanguka na kuamka kama vetanam , nilishapata lose za kufa mtu hapo katikati, mkuu nakwambia wazi Nina nyumba nzuri, nina viwanja kadhaa, Nina gari zuri , nakula nitakacho na nimeoa na mtoto,
This boy, anayeniletea mada za kunitia hasira hapa
Tena daķtari angekuwa karibu ningemchapa kibao
Vijana wa china na nchi nyingi hupitia katika mapambano
Ya shamba , technolojia n.k
Amka.
Amka mjomba hakuna msaada wowote humu zaidi ya blablaaaaaaaaa kama hii yangu na mashairi mengine cha zaidi ni uamke, achana na simu ya tachi iuze ununue ata dawa mbili tatu za ng'ombe na kuku na uniform nyeupe ya kazi, fanya jambo kama kichaa
Mkuu mimi Nina miaka Kati ya 30 na 33 siyo mzee yawezekana nakupita kidogo sana au tunalingana au kuna walalamishi kama wewe humu, Kazi kwako
Nimejitaidi kukuambia ukweli wangu kukutia moyo Kiukweli nachukia mtu anayetafuta ajira. Kama kuna cha maana chukua ufanyie kazi.
Kweli mkuu hata mimi nakomaa na ambulation huku nikiumiza kichwa nipate mtajiAisee mvet mishe za vet serikal zimegoma toka 2015 sahv tunakomaa na ambulation tuu mtaan tupate vijihela tufungue ma vetshop ingawa majukum mengi ilaa hii fani ni bonge la fani amin hiloo tuna watejaa weng sanaa shv kila mtu anafugaa aisee kwahyo deal zitakaa sawa tuu tuliza akil
Mtaji tayar unao sema tu ni namna ya kuutumia ndo shida, mm ningekuwa kama wewe ningekuwa mbali sana.Sawa ila yote hayo nataka nifanye ili kujichanga nipate mtaji.Kujiajiri napenda sana ila lazima ufikirie namna ya kupata mtaji wa biashara.
Sio kweli, ukitaka mafanikio au ukita kufanya biashara ondoa mawazo ya sina mtaji.Tatizo waliowengi mnataka muanze na mtaji wa kujenga gorofa, mtu anasahau kuwa mbuz 1 au kuku mmoja anamtosha kuwa milioneaTatizo kubwa Kwa wahitimu wengi hasa Wa SUA ni mtaji,atapataje mtaji bila kutembea na bahasha kwanza mkuu?
Bullshit,hivi nyie mkishafanikiwa kidogo mnajiona kama wengine vilaza,hawahangaiki sana kisa nyie mmepata..Sio kweli, ukitaka mafanikio au ukita kufanya biashara ondoa mawazo ya sina mtaji.Tatizo waliowengi mnataka muanze na mtaji wa kujenga gorofa, mtu anasahau kuwa mbuz 1 au kuku mmoja anamtosha kuwa milionea