du, wenye english zenu (mjuao kiingereza) naona mwaka huu tutawakoma!! Namshauri mh dk magufuri akuteue kuwa balozi wetu uingereza, naona utatufaa sana!
naauliza tu, kwani lipumc ameiacha cuf ikiwa na wcunge wangapi bara na sasa wako wangapi? Ni kujitoa ufahamu kumbeza mbowe, lowassa na viongozi wa ukawa kwa ujumla!
ni kweli dr magufuri amevunja rekodi kwani tangu tanzania izaliwe hatujawahi kuwa na uchaguzi ambapo ccm ilitegemea wasanii ili kuvutia watu kwenye mkutano wa kampeni! Leo dr magufuri atakuwa ushirombo na ili kuvutia watu mziki wa bure (disko) umekesha!! Inawezekana akawa pia amevunja rekodi si...
Si tunaaminishwa kuwa mafisadi wamehamia ukawa na hivyo tusiwaamini tena chadema na ukawa yao? Je, tayari ukawa iko madarakani ndo maana nchi inanuka rushwa kiasi cha kuzuiliwa misaada??
Hawa jamaa wamechanganyikiwa! Unawezaje kusema hufungamani na upande wowote ilhali unaambatana na watu ambao wanamsimamo tayari yaani serikali 2? Kalagabaho!
nakushauri uwe unasoma habari kwa makini kabla ya kuchangia! Kilichoandikwa ni kuwa kiongozi wa waasi alikutana na membe mwishoni mwa mwaka jana na kuwa inadhaniwa kuwa mkutano huo ndio uliofanisha hayo yanayosema kufanyika jan 23! Kwa maana hiyo hakuna kilichobadilika ktk hicho kinachoitwa...
Watanzania tunayo kazi! Kama msomi wa level ya kitila(dr) anaweza kuchanganya mambo namna hii sijui tutegemee nini au jamii itegemee nini kwa ambao hatujaenda shule au wenye shule ya kawaida!? Ati viongozi wamejijengea kushabikiwa na wanachama ili hali yeye mwenyewe (anayeona mbali kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.