Recent content by Guyton

  1. Guyton

    JamiiForums Tanzania Baraza la Madaktari Tanzania(MCT) limchunguze Dr Omary wa Hospitali ya Selian Arusha ALMC

    Yule neurosurgeon aliyotoka Selian kwenda KCMC alipokua Selian vifo havikuepo? Unaweza tusaidia tujue mortality rate yake ilikuaje?.
  2. Guyton

    JamiiForums Tanzania Mama Samia ameanza vibaya kwa kupuuza kuvaa Barakoa

    Huu ni uongo, there is no science in your context.
  3. Guyton

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa, John Pambalu malizana na mawakala wako huko Mwanza hasa hasa wale wa kule Buhongwa

    Haya uliyoandika humu ungemtumia yeye message.
  4. Guyton

    JamiiForums Tanzania US Ambassador to Tanzania: Maalim Seif and his colleagues should be released immediately

    Kwani v Kwani vitabu na idea ulizosoma shule ni baba yako aliandika?. Mbona haukuacha shule?.
  5. Guyton

    JamiiForums Tanzania Taarifa hizi toka Visiwani Zanzibar zina ukweli?

    Wamei-block, itabidi utumie VPN ndio utaweza ku-access. Pole ndio nchi yetu hii.
  6. Guyton

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mitandao ya Airtel na Vodacom ukituma SMS “Tundu Lissu” au “John Magufuli” haiendi

    Rafiki, hii nchi ni masikini sababu asilimia kubwa wana IQ ndogo kutokana na kuzaliwa nyumbani badala ya hospitalini. Sasa mtu anatoa taarifa pamoja na ushahidi lakini mtu bado anabisha pasipo hata ku test ushahidi uliowekwa. Ni shida sana lakini ndio nchi yetu.
  7. Guyton

  8. Guyton

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mitandao ya Airtel na Vodacom ukituma SMS “Tundu Lissu” au “John Magufuli” haiendi

    Wewe ndio mjinga sasa, umewekewa evidence hapo ila bado unabisha.
  9. Guyton

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kwa wapiga kura sasa ni wakati wa kutafakari zaidi

    Haya ni mawazo ya kijiweni na sehemu yake sahihi ni facebook.
  10. Guyton

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Kamati ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) Yatoka na Maazimio nane dhidi yake

    Zillion, Msamehe tu, naye anajitutumua kufikiri.
  11. Guyton

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Kamati ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) Yatoka na Maazimio nane dhidi yake

    Corticopontine, Kumbe nchi ni Mali binafsi ya rais?
  12. Guyton

    JamiiForums Tanzania Wadi mpya Muhimbili 'hazina vyoo'!

    Kila hospitali inapojengwa huwa inakusudiwa kuwa na uwezo wa kulaza wagonjwa kadhaa, ambayo huwa inatajwa kwa idadi ya vitanda yaani bed capacity. Huwezo huu ndio huwa unatumika kudesign majengo na kujua idadi ya human power. Sasa ni wazi tu hapa suala la manesi kutosha itakua shida. Na kama...
  13. Guyton

    JamiiForums Tanzania Siri yafichuka, madaktari zaidi 700 watelekezwa mitaani zaidi ya mwaka 1 na nusu

    kaka uhuru wa kuongea kila mtu anao, lakini kwenye majukwaa makubwa kama hili ni vizuri ukajiribu kutumia uhuru wako kuongelea mambo unayoyafahamu japo kidogo, vinginevyo utaonekana darasa la saba au hujaenda darasani kabisa, kumbe pengine ni msomi wa levo ya degree. Ngoja ni kuelimishe kidogo...
  14. Guyton

    JamiiForums Tanzania Siri yafichuka, madaktari zaidi 700 watelekezwa mitaani zaidi ya mwaka 1 na nusu

    mkuu ni kweli, hospitali za private nazo zina haki ya kuwatumia madaktari waliopo, lakini ilitakiwa kuwe kuna ugumu kwa hizi hospitali kupata hawa madaktari, na hivyo zingekuwa zinalazimika kulipa mishahara mikubwa hili kuvutia madaktari. Tatizo lililopo hapa ni kuwa, serikali inatumia nguvu na...
Back
Top Bottom