Zanzibar 2020 US Ambassador to Tanzania: Maalim Seif and his colleagues should be released immediately

Kwani v
Mabeberu watu wa ajabu Sana. Yani Wanataka hata kutufundiaha jinsi ya kuwaza, yani tuwaze na kutenda kama waonavyo wao si upuuzi huo.Wameona magu kawakazia, ile mirija yao ya kufyonza rasilimali imekatwa sasa imekuwa nogwa. Nyerere aliona mbali sana, nchi hizi za ki Africa bila kujitegemea na kuondoa tongotongo kichwani na ukoloni mamboleo hautaondoka.

Kwani vitabu na idea ulizosoma shule ni baba yako aliandika?. Mbona haukuacha shule?.
 
Nonsense! Kwanini wasihangaikie uchaguzi wao ambao una kila dalili ya kuliingiza taifa lao kwenye constitutional crisis iwapo racist president wao atashindwa uchaguzi na kukataa matokeo?
Hivi nawewe kweli siasa unaijua?Yale maigizo ya Trump unayaamini kabisa?

USA hakuna Rais aliyewahikukataa/atakayekataa matokeo ukiachilia mbali vitimbi vya Trump.
 
Tanzania ni nchi tajiri Sana.
Ama kweli kuna binadamu akili zao wanashikiwa na wenzao.

Nchi tajiri huku watu wanakinywa maji wanayokunywa ng'ombe,mbuzi,ngedere?

Maji yenye tope kabisa.

Hospitali dawa hakuna ni kuandikiwa tu baada ya vipimo.

Mashuleni watoto wanakaa chini hakuna madawati tena shule zilizopo katikati ya jiji.

Ukitaka nikuelekeze shule hata 5 katikati ya jiji ambazo wanafunzi wanakaa chini kwa kukosa madawati ntakuelekeza.

Note:Mimi sio mshabiki wa vyama vya siasa ila hiyo ni fact tu nimejaribu kulipa.
 
Law and order. Hakuna sababu ya minority kuachwa wakafanya unnecessary disturbance kwa majority!
Internet imezimwa kwani kuna taharuki yoyote nchini?
Serikali inayopendwa na walio wengi kwanini iwafanyie haya wananchi wake?

Unajua kadhia waipatayo wananchi kupitia hilo lakuwazimia internet?

Kuna biashara zinategemea mtandao wa internet zimekwama.

Kuna watu wanahitaji mawasiliano na ndugu zao waliopo nje ya nchi kwa msaada na shida mbalimbali hawawasiliani kwasasa.

Mkuu ukipenda kitu fulani usizidishe kipimo ili akili ibaki na nafasi yakuhoji na udhaifu.
 
Mwambieni balozi atulie, Tanzania ni nchi huru, watanzania ni watu huru, hatuwezi kuendeshwa kwa namna hiyo..
Nchi hiru wakati bado tunaenda kuomba misaada kwa kukubali masharti magumu!!!

Tulitaka kunyimwa mkopo na World bank nchi ilikuwa na kiwewe hadi baadhi ya wa.bunge wakataka Zitto auawe kwa kukwamisha mkopo.

Nchi tajiri inaweweseka kwa kutaka kunyimwa mkopo?

Be serious man.
 
Mhhh mbona anaongea kama nchi ni yake??anajuwa sababu ya wenyewe kukamatwa...anyway inabidi Tanzania kuwa makini maana Libya na Misri wote wamepitia huko....hawa US ni watu wabaya sana tena sana hasa wakiona nchi inafanya vizuri...
Huko ndiko CCM inataka kutupeleka
 
Detaining opposition leaders is not the act of a government confident in its electoral victory. Maalim Seif and his colleagues should be released immediately.

View attachment 1615653View attachment 1615654
#US Ambassador to Tanzania: Maalim Seif and his colleagues should be released immediately: Mkuu Quinine, unajisikiaje unapohangaika kutafuta jumbe kama hizi kutoka kwa balozi wa USA pamoja na Senator wa USA badala ya kutafuta hisia na ukweli kutoka kwa wananchi na wahusika katika uathirika wa kisiasa? USA Ambassador na Senator hawana mamlaka yoyote kuingilia mambo yandani ya nchi yanayotekelezwa kwa mjibu wa sheria halali na katiba. Hii inathibitisha hawa watu unaochukua nukuu kutoka kwao wana maslahi binafsi kupitia wewe na wenzako wenye hisia kama hizo au maslahi ya kiuchumi kupitia taasisi na kampuni zilizopo hapa nchini. Hii pia inathibitisha wewe pamoja na watu ambao unatoa nukuu hizi mna chuki binafsi, wivu, inda na nia ovu kwa mgongo wa demokrasia. Hii ni nchi ya watanzania sio ya Marekani, Ulaya, au huyo wakili feki mwenye makao yake Uingereza. Kitendo cha kuendelea kutoa matamko hasi dhidi ya Tanzania ni uthibitisho tosha kwamba wako nyuma ya njama zozte ovu kwa Tanzania. Chochote kibaya kinachoweza kutokea dhidi ya Tanzania na viongozi wake hawa watu unaotafuta nukuu kutoka kwao pamoja na wewe mtawajibika kwa Watanzania. UMAMUZI ni wa WATANZANIA kuamua ni nani awaongoze sio mabalozi wa nje, mashirika binafsi, UN, AU, Coimmonwealth nk. Achaneni na taharuki hizi zisizo na tija kwa maslahi ya nchi, haikubaliki kwa namna yoyote. Msitishia Tanzania na jumuiya za kimataifa, kwa lipi baya lililotokea hapa kuzidi huko kwao ambako hakuna HAKI, UHURU ridhaa na AMANI kwa kulinganisha na wananchi wa Tanzania.
 
Hizi ndio sababu watanzania wamewapiga chini kulilia utumwa.

Hamuwezi kupata public support mkiendelea na upuuzi wakutukuza wazungu.

Yaani ata watu wanaowasikitikia kwa matokeo ya uchaguzi wanapoona huu upuuzi wenu mnawafanya waone you deserve what you got haraka sana.
Sababu zipi nani kamtukuza mzungu.
 
#US Ambassador to Tanzania: Maalim Seif and his colleagues should be released immediately: Mkuu Quinine, unajisikiaje unapohangaika kutafuta jumbe kama hizi kutoka kwa balozi wa USA pamoja na Senator wa USA badala ya kutafuta hisia na ukweli kutoka kwa wananchi na wahusika katika uathirika wa kisiasa? USA Ambassador na Senator hawana mamlaka yoyote kuingilia mambo yandani ya nchi yanayotekelezwa kwa mjibu wa sheria halali na katiba. Hii inathibitisha hawa watu unaochukua nukuu kutoka kwao wana maslahi binafsi kupitia wewe na wenzako wenye hisia kama hizo au maslahi ya kiuchumi kupitia taasisi na kampuni zilizopo hapa nchini. Hii pia inathibitisha wewe pamoja na watu ambao unatoa nukuu hizi mna chuki binafsi, wivu, inda na nia ovu kwa mgongo wa demokrasia. Hii ni nchi ya watanzania sio ya Marekani, Ulaya, au huyo wakili feki mwenye makao yake Uingereza. Kitendo cha kuendelea kutoa matamko hasi dhidi ya Tanzania ni uthibitisho tosha kwamba wako nyuma ya njama zozte ovu kwa Tanzania. Chochote kibaya kinachoweza kutokea dhidi ya Tanzania na viongozi wake hawa watu unaotafuta nukuu kutoka kwao pamoja na wewe mtawajibika kwa Watanzania. UMAMUZI ni wa WATANZANIA kuamua ni nani awaongoze sio mabalozi wa nje, mashirika binafsi, UN, AU, Coimmonwealth nk. Achaneni na taharuki hizi zisizo na tija kwa maslahi ya nchi, haikubaliki kwa namna yoyote. Msitishia Tanzania na jumuiya za kimataifa, kwa lipi baya lililotokea hapa kuzidi huko kwao ambako hakuna HAKI, UHURU ridhaa na AMANI kwa kulinganisha na wananchi wa Tanzania.
Mawazo ya kijima, kwahiyo unatuzuia tusiwe tunasoma walichoandika wazungu sijakuelewa, basi na magazeti yao msiwe mnasoma na TV zao mzipige marufuku.

You can restrict our freedom for sometimes but you can’t control our mind. Hasira za kushindwa kumzuia aliyeandika (balozi) usizihamishie kwa wasomaji.

Kama ume zoea magroup ya instagram ya kusifia karibu kwenye jukwaa huru ndugu Intelligence Justice .

Intelligence Justice​

Member
Joined Oct 23, 2020
 
Hizo hasira hazikusaidii, na huwezi kunikaripia kwa mihemko ya kisiasa. Stop it, and to be frank and precise your mission shall not yield your projected prospects at all.
 
Mhhh mbona anaongea kama nchi ni yake??anajuwa sababu ya wenyewe kukamatwa...anyway inabidi Tanzania kuwa makini maana Libya na Misri wote wamepitia huko....hawa US ni watu wabaya sana tena sana hasa wakiona nchi inafanya vizuri...
Halafu CCM ndiyo wazuri....!!
 
Mhhh mbona anaongea kama nchi ni yake??anajuwa sababu ya wenyewe kukamatwa...anyway inabidi Tanzania kuwa makini maana Libya na Misri wote wamepitia huko....hawa US ni watu wabaya sana tena sana hasa wakiona nchi inafanya vizuri...
maCCM ndo watu wabaya usiwasingizie wamarekani
 
Kwa arusha watu walijazwa mahotelini usiku wa tarehe 27/10/2020 kule amazon, kitundu nk. kura zilipigwa usiku ndani ya jengo la CCM mkoa na kupelekwa vituoni chini ya ulinzi wa polisi na kuingizwa kwa nguvu. waliojaribu kuzuia risasi zilipigwa juu na kutawanya watu. hii ndiyo sababu mitandao ilizuiliwa kuzuia ku share picha na video za matukio
Ungeweka na vipicha kidogo
 
"immediately" kwa waliosoma sheria na utawala wana elewa zaidi nguvu ya hili neno. sasa CCM acha waendelee kuleta mchezo wa makida makida, wataelewa somo.
 
Back
Top Bottom