Asante kwa somo zuri naona wengi wanauliza uhusiano wa kumuua na kukata sumu.
inasemekana ukishamuua huyo nge mkate mkia kisha mponde ule ute unaotoka pakaza sehemu alipokuuma inasaidia kupunguza makali ya sumu. Yaan untdot ya sumu yake ni majimaji ya utumbo wake.
Kuhusu tandu sijui zaidi...
Akili kubwa akifanya jambo ni vigumu sana akili ndogo kuelewa mpaka atakapoona matokeo. Kipindi cha magu wengi walimpinga mpaka walipoona matokeo. Na kipindi cha samia wengi wanashangilia mpaka watakapoona matokeo ya uuzaji rasilimali ndipo wataelewa.
Wamarekan wanaompinga trump hawajui...
masaa ma3 ni kawaida sana tena yanaisha bila kujua unakuja kujua baadae mkishamaliza ukichek saa ndo unajua mumesex muda mrefu. Izo dakika 5 mnakuwa hamjabadili hata style moja wakat inatakiwa mechi ipigwe kila kona kitandan mezan kwenye sofa kushika ukuta n.k sasa dk5 mnawezaje kufanya yote...
Kusex na mwanamke muda mrefu inategemea na jinsi mwanamke mwenyewe alivyo. Ni kama chakula kama sio kitamu lazima uwahi kushiba ila kikiwa kimepikwa vizuri unazamia mpaka na mchuzi unakunywa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.