Recent content by Gutternberg

  1. G

    JamiiForums Tanzania Passo inakunywa wese sana

    Mkuu hio hatar passo km6/L
  2. G

    JamiiForums Tanzania Niulize chochote kuhusu injini za magari madogo na pickup zinazotumia Petroli

    Na je engine ya ist kwenye passo inawezekana!
  3. G

    JamiiForums Tanzania GE2020 Siasa za Mbeya: Hapa Mary Mwanjelwa, Huku Tulia Ackson, kule MC Mwakipesile ndani ya CCM, CHADEMA J. Mbilinyi a.k.a SUGU

    Ni kweli lakini kwa siasa ya hapa mbeya mjini huyo bwana sio rahisi kumshinda sugu,atapigwa kirahisi kama alivopigwa mgombea wa 2015,adv shitambala
  4. G

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa wanaoijua njia ya kutoka Tabora kwenda Mbeya

    Kaka hio njia usipite kwa hio gar utajuta pita mterA iringa
  5. G

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa wanaoijua njia ya kutoka Tabora kwenda Mbeya

    We jamaa ni mwongo huwez pita hio njia kwa passo
  6. G

    JamiiForums Tanzania Kusoma sana sio kufanikiwa

    Pia tungefaham tafsiri ya kufanikiwa ni ipi, naomba kujua mtu ukisema kijana fulan Kufanikiwa, nini kinakua kimepimwa!
  7. G

    JamiiForums Tanzania Mwambie mdogo wako anaenda shule kusomea taaluma sio kazi, anaweza kusoma uhasibu akawa dobi

    Hayo maneno ya busara sana, na ingebid vyuo vifanye semina kuwaeleza hayo pindi waingiapo vyuon
  8. G

    JamiiForums Tanzania Jamii ya waarabu wanaongoza kwa kuwa na huruma duniani

    nafikiri umeongea kinyume ili upate maoni,hao si ndo wanatesa,na kuua dada zetu huko oman au!
  9. G

    JamiiForums Tanzania Siku za Rais Kagame zinahesabika. Je, atakimbilia Tanzania?

    Nakubaliana na wewe kabisa hao wamejipangia wapi,kagame sio mwepesi kiivo!
  10. G

    JamiiForums Tanzania CHADEMA: Rais kasaini sheria mpya ya siasa na Tanzania inaenda kuwa Rwanda rasmi, ndio maana Polepole anasema vyama vingi havina maana CCM kinatosha

    tambua kua sheria imeanza kutumika baada ya kusainiwa na hairudi nyuma maalim kaama kabla mkuu
Back
Top Bottom