Recent content by Gushleviv

  1. Gushleviv

    JWTZ msifanye makosa DRC, haya ndio yatakuwa madhara yake

    Mental Health is Real!
  2. Gushleviv

    Kagame: Rwanda is ready for a confrontation with South Africa if necessary!

    SA hawawezi kuifanya chochote Rwanda kwa sasa. PK siyo mpumbavu anajua anachokifanya.
  3. Gushleviv

    Je, hii gari unaizungumziaje ukilinganisha na Vanguard ama Harrier?

    Hao ndio waswahili mkuu,hapo unakuta hata Pikipiki ya TVS Hana ila maneno mengi🤣
  4. Gushleviv

    Je, Apple wanadanganya kuwa stolen iPhone haiwezi kutumika tena?

    Kuna mtu ataibiwa katika Uzi huu, tuwe makini.
  5. Gushleviv

    Natafuta seal ya Mazda CX 7 inayokaa kwenye Intercooler

    Aagize alikoagiza gari, very simple. Wabongo wengi ni wapumbavu sana. Kuacha gari nyumbani uagize spare na kuisubiria wiki moja au mbili hawataki,yuko radhi akauziwe ya kuchonga🤣🤣
  6. Gushleviv

    Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

    Issue ya Mwanga high contrast naona kama ni shida kubwa sana kwa simu za Xiaomi na Redmi zote..ipi solution mkuu?
  7. Gushleviv

    Ushauri, Subaru Impreza Sport 2012

    Yapo mengi tu,do your own research.
  8. Gushleviv

    Magari "used" ya kuepuka

    Itakuwa kuna vitu wameangalia
  9. Gushleviv

    Ushauri, Subaru Impreza Sport 2012

    Sitishi mtu mkuu, tatizo letu kubwa Bongo ni mafundi. Hizo gari zina mafundi wachache sana wanaozifahamu vizuri sada kwa mtu ambaye ananunua gari kwa mara kwanza na hana experience na umiliki wa magari itamsumbua tu.
  10. Gushleviv

    Apple kuzindua iPhone 16 series leo Tar 9 September 2024

    Safi sana kuishi maisha yako na kufanya kile roho na nafsi yako inapenda, kelele za watu hazitakiwi kukubabaisha
Back
Top Bottom