Recent content by Gus Fring

  1. Gus Fring

    Matrafiki wana roho mtakatifu wao

    acha ujinga kutumia Roho Mtakatifu katika mambo ya kipumbavu kama haya uliyo yaandika
  2. Gus Fring

    Nipe sababu tatu unapenda kuishi ukanda gani mwa Tanzania?

    Usipoteze muda, sema unapenda kuishi Dar sehem gani?? Uko kwengine ni kwa watu ambao hawana mikakati yoyote na walio ridhika na maisha.
  3. Gus Fring

    Aisee mkiona watu wanaua wezi msishangae

    Kwanini umchome moto mwanadamu mwenzio? Kwanini usimpige tu na ukamuacha na maumivu yake? Namna mlivyowajinga, mtu anaewaibia kuku tu mna muua, ila kiongozi anaewaibia mabilion ya kujenga hospital zenu mnamsifia.
  4. Gus Fring

    Aisee mkiona watu wanaua wezi msishangae

    Uhai wa mtu haufananishwi na kitu chochote, mali zinaweza kurudi ila uhai hauwezi. waafrica ni wapumbavu wakubwa kwakua wamekuua wakiwauwa watu ambao waliwaibia simu tu... jiulize kwanini ujinga huu upo tu africa? Kwani dunia nzima hakuna wezi?
  5. Gus Fring

    Aisee mkiona watu wanaua wezi msishangae

    Hakuna damu ya mtu inayo mwagika bure. kwakua wewe ulimchoma visu mbavuni, ni wazi uli ua, damu ya uyo mwizi iko juu yako na kizazi chako. chunguza maisha unayoishi sasa na yatakayo kuja yote yatakua ni miserable. Nenda katubu na ubatizwe upya.
  6. Gus Fring

    Nimekata tamaa, nimechoka! Naona haya maisha hayana faida!

    Kitu cha kwanza unachotakiwa kukifanya ni wewe kuokoka, maisha yako yatabadilika, historia haitokua kama ilivyo leo,,, you need Jesus before anything else. hayo unayopitia its obvious una spiritual problems ata upewe kiasi gani after a while utarudia tena mateso zaidi na zaidi.
  7. Gus Fring

    A trip to Moproko Factory

    Yeah man, sometimes mie mwenyewe nikikumbuka miaka hio machozi unilenga, hasa nikiwa na drive highway, kumbukumbu zote uja... wale watu wote tuliokua darasa moja shule moja enzi izo sijui wako wapi? hatuwezi tena kuja kukutana ktk umati wa namna ile.
  8. Gus Fring

    Msaada: Ni mara ya pili nataka kujidhuru

    Unasumbuliwa na roho ya umauti, kitu unachokiitaji kwa sasa ni kanisa tu.
  9. Gus Fring

    Hizi ndizo kazi ambazo mtoto wa mjini hawezi kuzifanya...

    😂😂😂😂 mie mwenyewe siwezi kukaa sehemu moja siku nzima
  10. Gus Fring

    Hii ndio Midundo (Beats) ya Hip Hop 50 Bora ya Muda Wote

    Shangaaa kwenye hio list chamilionaire anakosekanaje?
  11. Gus Fring

    Hii ndio Midundo (Beats) ya Hip Hop 50 Bora ya Muda Wote

    Yaan hakuna wimbo ata mmoja wa fitty? Mzee fitty ana ma bit ambayo yote yana form hizo top 10 hapo 1. When it rains it pour 2. Window Shopper 3.in da club 4. Best friend 5. Candy Shop 6. Pop them thang 7. Many men 8. 21 questions 9. Pimp 10. I get money 11. Whip yo head 12. Stunt 101...
  12. Gus Fring

    Natafuta mke makini haswa

    😂😂
  13. Gus Fring

    Natafuta mke makini haswa

    😂😂 hapana
Back
Top Bottom