Man our treasurery is full of cash come sun come rain, the money you used to swindle is no more, all swindlers have same talk because they have nothing to swindle before being swindled.
Rais Dr. John Joseph Pombe Magufuli hakushuka Tanzania kama Malaika akawa muarobaini wa nchi hii, ni binadamu ambaye makosa ni sehemu ya utendaji, korosho ni jambo geni ambalo limeleta mkanganyo katika maamuzi yake, lakini Watanzania tushirikiane kutafuta jinsi ya kumaliza sakata hata kushauri...
Hivi kwa nini punda kama ninyi mpo nchi hii kila siku ni kunya kunya maneno ya dharau tu, starabika dada huyu ni Rais wa nchi siyo chizi mwenzio. thanks
Lakini umasikini unatokana na nini Singida??
Mkoa huo unapitiwa na barabara kuu, ardhi ni nzuri pia kuna fursa ya ufugaji. Mtapitisha kila aina ya chama kuwa na wabunge tofauti, lakini kama lengo ni maendeleo basi wananchi wahamasishwe kufanya kazi kwa bidii kulingana na fursa zilizopo humo...
Noma, huyo Nyalandu wako ni public figure ambaye ni lazima watu wawe na interest naye, laiti angekuwa kajamba nani Kama ninyi washabiki wake mngekutwa mnagawa kadi za Chadema mngeonekana machizi fulani tu.
CCM Ina Serikali ipo madarakani inatawala, Chama Chako kinaendelea kuchuchumaa nje miaka 30 kikiomba CCM idondoke, sasa hapa anayehangaika ni nani tumia akili ya kuzaliwa huhitaji hata darasa moja hapo. Kabikula!!!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.