Recent content by Gulio Blog

  1. Gulio Blog

    JamiiForums Tanzania Kwa mujibu wa Biblia, kufa chini ya miaka chini 70 sio mpango wa Mungu

    Wanakuwa wametolewa kafara bado roho zao hazijachukuliwa Mungu
  2. Gulio Blog

    JamiiForums Tanzania Kwa mujibu wa Biblia, kufa chini ya miaka chini 70 sio mpango wa Mungu

    Habari wadau Kwa wakristo waliompokea Yesu kama neno linavyosema kwamba kufa chini ya 70 inaonekana sio mpenzi ya Mungu hasa maisha ya sasa ambayo RIP ZA vijana zimekuwa nyingi sana Karibu tujadili
  3. Gulio Blog

    JamiiForums Tanzania Wakuu TikTok imefungiwa Tanzania, yaani Total Ban hata kwa VPN?!

    Tiktok sip ile Tena ya zamani nilishangaa kuingia tiktok mwezi uliopita nikaona habari zinazotrend ni kudai katiba mpya na maandamano
  4. Gulio Blog

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Ulaji wa Ugali husababisha udumavu wa akili

    Wakinga wanakulia ngano yeusi ni nzuri kwa afya ya ubongo ngano nyeupe sio nzuri Inaongeza kitambi
  5. Gulio Blog

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nifanyeje ili niache kununua malaya?

    Hao ni wasanii tu wengi wanafungua biblia jumapili mpaka jumapili wanavyokuwa kanisani biblia ni kama mkate ni lazima isomwe kila siku
  6. Gulio Blog

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nifanyeje ili niache kununua malaya?

    Hicho ni kifungo shetani huwa anatumia akili sana kufanya mtu ili asifanye maendeleo mara nyingi vitu unavyovipenda kuvifanya shetani huwa hakai mbali chunguza vitu unavyovipenda kuvifanya au mazingira unayopenda kushinda au marafiki unaowapenda kuwa nao wanaweza kuwa sababu ya mambo yako...
  7. Gulio Blog

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nifanyeje ili niache kununua malaya?

    Yes bila shaka
  8. Gulio Blog

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nifanyeje ili niache kununua malaya?

  9. Gulio Blog

    JamiiForums Tanzania Nchi inaharibika kwa Kasi sana. Umeshawahi kumuona wapi mtoto wa kigogo anafikiria kusoma VETA?

    Veta Kuna elimu iliyoleta mapinduzi makubwa kwa vijana haya mavibanda yote tunayoyaona ya mpesa yamechomelewa na vijana wa veta
  10. Gulio Blog

    JamiiForums Tanzania Ujio wa DP World: Bandari za Tanga na Mtwara Wanahusikaje? Tuliambiwa ni Dar tu tena gati tatu

    Hii ni vita ni wazanzibar na watanganyika usije ukajikuta siku muislam wa Tanganyika unafukuzwa Zanzibar watu wanaanda mazingira
  11. Gulio Blog

    JamiiForums Tanzania Kupunguza umasikini nchini kila familia ipeleke kijana mmoja ughaibuni akapambane huko

    Wale vijana waliokimbilia sauth wamegeuka kuwa michimoko kila siku wanauwawa tu hawana ujuzi wowote zaidi ya wizi na uuzaji madaw
  12. Gulio Blog

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Najuta kuoa mwanamke kutoka kanda ya ziwa, aisee najuta indeed!

    Malalamiko ya wanaume yamekuwa ni mengi sana shida Nini mbona tunajizalilisha sana mitandaoni
  13. Gulio Blog

    JamiiForums Tanzania Wanasheria nisaidieni: Nina eneo langu lakini nimekuta limepangiwa matumizi bila kunihusisha

    Haya mambo ya kununua maeneo bila hati imekuwa ni shida kubwa nchini
  14. Gulio Blog

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Ulaji wa Ugali husababisha udumavu wa akili

    Dona Ndio mbaya zaidi Ile sumu yakuhifadhi mahindi huwa inasumu inayosababisha kansa waulize wakenya
Back
Top Bottom