Recent content by Guftano

  1. Guftano

    Wapwa na mabinamu zangu nisaidieni kufanya uchaguzi

    tatizo ni pale itakapobasti na hatojua kama imefanya ivo. ajaribu moja,mbili, tatu then aseto mwenyewe. sema mwana asikae sana kwenye zile za sh.100 unapewa tisa. sio.
  2. Guftano

    Kikwete aamuru mitambo ya IPTL iwashwe mara moja!

    na juu ya swali lako naomba niongezee jingine, tunakatwa ile 3% tununuapo umeme, inaenda wap wakati hata huu umeme wa mijini hapa unawashinda tanesco kuumaintain? KIINI MACHO
  3. Guftano

    Kwenu akina kaka wenye kutaka mapenzi ya kweli

    tatizo la wanaosema hamna mapenzi ya kweli sasa hivi ni kuwa: waoga wa kuwa heart broken.. wasiwasi wenu umekaa zaidi kwenye mwenzi wako kuiba/kuibiwa. usipokuwa na imani first kwenye mapenzi, sio rahisi mengine kufanikishwa..penda mtu, mengine yakitokea ni baadae, sio kwa kuwa umedinyiwa mwenzi...
  4. Guftano

    Jamani hii tabia au ni hulka kwa Wababa!!!

    hiyo ni tabia ya mtu binafsi (ngumi mkononi a.k.a ukatili) na si wanaume wote. Kwa upande wa kupenda chini, imekula kote coz mi najua wanawake wengi wanaoshabibia utamu nje ya ndoa vile vile...so tuhuma ziko kote. tusisimangane
  5. Guftano

    Kikwete aamuru mitambo ya IPTL iwashwe mara moja!

    Hapa hata mkuu wa nchi kutoa uamuzi huo jana, amechelewa kimtindo..mgawo ulishaanza kitambo saana kimya kimya..baadae sana tanesco ndo wakajibeba beba kuja kutoa taarifa wakati tiari mishipa ya shingo ishatuuma saana kwa kulalamika. mi nafikiri tangia wakati huo hii mitambo ilikuwa inaonekana...
  6. Guftano

    In Edward Lowassa, I trust...

    Neeeextttttt.....maana hii sio.
Back
Top Bottom