Jamani hii tabia au ni hulka kwa Wababa!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamani hii tabia au ni hulka kwa Wababa!!!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Akili Unazo!, Oct 22, 2009.

 1. Akili Unazo!

  Akili Unazo! JF-Expert Member

  #1
  Oct 22, 2009
  Joined: Feb 18, 2009
  Messages: 2,809
  Likes Received: 2,508
  Trophy Points: 280
  Wandugu naomba nianze kwa kuhadithia kastory kadogo!!

  jana katika pitapita yangu kituo cha polisi nilikutana na mkasa huu ambao amam mwenye nyumba alikuwa amekuja kuuwasilisha kituoni.Mkasa wenyewe ni huu.

  Kuna baba mmoja makazi yake huko Morogoro alisafiri na kwenda Moshi katika kutafuta maisha.Baada ya muda aliwasili nyumbani akiwa na msichana mdogo ambaye alimleta kwa ajili ya ajira ya kazi za nyumbani;Kwa mjibu wa huyo mama yule dada alikuwa akilala sebuleni hivyo ikanipa picha kuwa huenda nyumba waliokuwa wanaishi ni ya chumba kimoja na sebule.Kwa kipindi chochote hicho ikaja kundulika kuwa baada ya mama kuwa usingizin baba alikuwa anajifanya anaenda kujisaidia kumbe anajianda kujinafasi na hako kahouse maid huku akikapa vitisho kuwa akija mwambia mkewe atamuua.Hivyo kale kasichana kakawa kana kaa kimya tu huku kakiendelea kugawa uroda kama kawaida kwa libaba lile huku kweli mkewe bila kujua.

  Baada ya muda kale kasicha kakapata ujauzito hivyo katika kujiokoa ikabidi kajitose kumwambia mke mtu kuwa anaujauzito,baada ya yule jibaba lu mbegu kugundua kuwa habari imeshaharibika ikabidi atembeze kipondo kwa kale kabinti mpaka ujauzito wake kuharibika.

  Mama mji alipoona hivyo ikabidi awe kama mzazi kumsaidia yule binti kwa kumpeleka hospitalini na kumfichia aibu mumewe pindi itakaposambaa mitaani na kweli walifanikiwa.

  Cha ajabu baada ya yule binti kupata matibabu na kupona siku za majuzimajuzi mama mwenye nyumba akawafuma tena baba akikamega tena kabinti ka watu ndo yule mama alipochukia na kuamua kwenda kuripoti kituoni mkasa mzima.

  Swali na mawazo toka kwa wadada na wababa wa humu JF.
  Ni kitu gani kinawafanya wanaume kutembea na housemaid kweli ni kuwa na hamu isiyotimizwa na mama mwenye nyumba au ni kwa sababu kuwa na tabia ya kubaka.

  Tumsifu yesu kristo
   
 2. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #2
  Oct 22, 2009
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  baadhi ya mawazee ya humu yatakuambia yanabadili ladha, kumbe ni uzinzi tu unawasumbua....hovyo kabisa.
   
 3. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #3
  Oct 22, 2009
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Tabia mbaya tu... hakuna lolote hapo, ni kujidhalilisha tu. Ni bora aoe kabisa wajue moja kuliko kujidharirisha namna hiyo.
   
 4. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #4
  Oct 22, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Unajua kila kitu ana andaa huyo binti sasa hapo nani aitwe mama mwenye nyumba? Basi kilicho baki baba ni kumega tu maana mama mwenye nyumba anakabidhi madaraka kwa house maid kila kitu bila kujua hata kumegwa nako ana mkabidhi.
   
 5. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #5
  Oct 22, 2009
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  hivi hata hapa sipati picha kabisa wanaume njooni mjibu mashitaka yenu hapa ..huwa hamridhiki unyumba mnaopewa ?
   
 6. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #6
  Oct 22, 2009
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  wizi mtupu ..hakuna cha kila kitu H/gal wala nini ...Uzinzi tu kama nyamayao alivyo sema
   
 7. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #7
  Oct 22, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Uzinzi gani bana kama baba na hausi geli wamekubaliana kuna uzinzi hapo?
   
 8. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #8
  Oct 22, 2009
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  Kuna watanzania 1.5 ambao wana matatizo ya akili.
  Huyo mzee ni mmojawapo.
   
 9. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #9
  Oct 22, 2009
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Kwani uzinzi nini maana yake ?
   
 10. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #10
  Oct 22, 2009
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  Sorry isomeeke 1.5 milioni
   
 11. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #11
  Oct 22, 2009
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  hapo umenena kula 5
   
 12. Guftano

  Guftano Member

  #12
  Oct 22, 2009
  Joined: Oct 20, 2009
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hiyo ni tabia ya mtu binafsi (ngumi mkononi a.k.a ukatili) na si wanaume wote. Kwa upande wa kupenda chini, imekula kote coz mi najua wanawake wengi wanaoshabibia utamu nje ya ndoa vile vile...so tuhuma ziko kote. tusisimangane
   
 13. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #13
  Oct 22, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Kumega ovyo ovyo bila utaratibu maalumu lakini kama unao wako 2 ahaaa unajimegea kiutaratibu huo sio uzinzi hata vitabu vinasema uoe mpaka wa 3.
   
 14. m

  mimi-soso Senior Member

  #14
  Oct 22, 2009
  Joined: Feb 11, 2008
  Messages: 151
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  huyo mama naye aliyataka.

  1. Mwanaume ahkuletei housegirl hata siku moja, we unajua walikubaliana nini?

  2. Alipogundua alichukua hatua gani? ina maana alidhani mume wake ataacha wakati kesha onja tunda? Mwanaume kama anacheat kwa bahati mbaya ni mara moja na hamrudii huyo mwanamke but kuendelea kila siku mpaka mimba jua ni zaidi ya bahati mbaya. So alifanya kosa kumuacha mle ndani ya nyumba yake.

  3. Sasa kwenda polisi kunasaidia nini? Hapo ni suala la mapenzi, aamke aone hakuna kitu hapo aanze kuandaa mikakati ya kuanza maisha yake.

  Hii inakera sana kwanza unajau kabisa kuwa Mr anakula bila hata kinga na hako ka HG hujui kama kana ugonjwa. Yaani mimi nasikia kinyaa sana maana kwanza wanawake wengine wachafu hawajioshi vizuri, yaani nikifikiria ndio mume wangu katoka kutumbukiza mambo yake kwenye kitu kama hicho ladha inaisha kabisa
   
 15. Akili Unazo!

  Akili Unazo! JF-Expert Member

  #15
  Oct 22, 2009
  Joined: Feb 18, 2009
  Messages: 2,809
  Likes Received: 2,508
  Trophy Points: 280

  Yule binti alivyobanwa alisema wakati anamwambia aje huku alimwambie yeye anamtoto mmoja mama yake hayupo akimaniasha walishatengana kwa aje amsaidie kumlelea huyo mtoto.

  Kwa hiyo nahisi alivyomkuta huyo mama akahisi ndo huyo mtoto aliyeambiwa nababa mwenye nyumba
   
 16. m

  mimi-soso Senior Member

  #16
  Oct 22, 2009
  Joined: Feb 11, 2008
  Messages: 151
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Huu ni uongo tena MTAKATIFU, huyo binti alijua kabisa kila kitu na walishakubaliana.

  Unajau kuna baadhi ya wanaume wanacheat lakini anamwambia hawara wake kuwa amheshimu mke wake coz hataki mke ajue. so labda huyu binti baada ya kuona amepata mimba akaona limebumburuka.

  Ila na huyo mama nae, mume kila siku anatoka usiku uhisi? aah vitu vingine jamani vimezidi. Alijibweteka sana mwanamke inapaswa kuwa makini kiasi haiwezekani mume kila siku anatoka usiku we hushtukii
   
 17. kitalolo

  kitalolo JF-Expert Member

  #17
  Oct 22, 2009
  Joined: Dec 4, 2006
  Messages: 1,846
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  penzi jipya ni tamu kila siku bana
   
 18. m

  mtanzaniaraia Member

  #18
  Oct 22, 2009
  Joined: Aug 17, 2009
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ujinga si kutokwenda shule,wengi wamekwenda shule kutalii tuu wala hawajaelimika hivyo wakijibu utumbo wewe vumilia mkuu!
   
 19. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #19
  Oct 22, 2009
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Lakini huyu mzee hapo ni fisadi wa ngono, hajaoa huyo binti.
   
 20. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #20
  Oct 22, 2009
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,660
  Likes Received: 1,492
  Trophy Points: 280
  Mkuu, mi najiuliza huyo mama iweje anatorokwa usiku mara nyingi hivo mhata hastuki? kwani wanakula kidude dakika 2 ndo useme ameenda kujisaidia>

  Huyo mama ni mzembe wala asilalamike:confused:
   
Loading...