Recent content by Guerreiro

  1. Guerreiro

    Ni nani aliyekuja kutupa formula, ukiwa na mafanikio kidogo, unatakiwa uzae watoto wawili au mmoja?

    Ndani pako wazi au umefunga na kufuli? Naomba nikusalimie nikiwa ndani.
  2. Guerreiro

    Wenye pesa huwaga hawalewi pombe

    Wewe bundi, vipi.
  3. Guerreiro

    Hai kutakuja kutokea mauaji ambayo hayahawahi kutokea.. Polisi chekeleeni mtavuna mnacho panda

    Naumia kuona jamii moja ya Watanzania ikiharibiwa na kitu kinaitwa SIASA. Ni ugonjwa gani wa ubaguzi umetushika na kutufanya tuwe na akili mbaya hizi. Tunapaswa kusimama kujenga Taifa lenye haki na uhuru kwa kila mmoja tusiruhusu kuuana wenyewe kwa wenyewe. Hii ni dalili mbaya sana kama Taifa...
  4. Guerreiro

    Picha 35623, kwenye simu. Zote unafanyia nini?

    Una hisa kwenye hiyo simu?
  5. Guerreiro

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Mwenye Tecno L9 au L8 naomba aje inbox chap basi.
  6. Guerreiro

    Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

    Asante mkuu. Nipo mbali na Musoma. Shukurani kwa utayari wako.
  7. Guerreiro

    Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

    Boss naomba iliyopo basi kaka. Nitajifunza hivyohivyo hadi kieleweke.
  8. Guerreiro

    Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

    Naomba hiyo mkuu ndiyo ninaimudu sana. Hii ya sasa sijawahi kuitumia. Nisaidie kwanza 1.5 kaka.
  9. Guerreiro

    Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

    Kaka mambo vipi. Samahani kuwa nje ya dhumuni. (Naomba nisaidie link nipakue Abode Audition 1.5) Nisaidie tafadhali Boss.
  10. Guerreiro

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Nilianza na buku 8 kwenye spin nimekula zaidi ya laki na 60 imekaa kwenye wallet. Sina haja ya kugombana na makocha kutaka matokeo ni mwendo wa kuzungusha gurudumu.
  11. Guerreiro

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Asante sana. Yaani natengeneza 10k ndani ya dk 10.
  12. Guerreiro

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kutengeneza 10k ni chini ya dakika 5 kama bahati iko upande wako.
Back
Top Bottom