Recent content by gudby

  1. G

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani achafua hali ya hewa Times FM

    Angetoa hoja why anataka serikali 2 & nt 3 na sio kutoa maneno ya kejeli mpk nw wana ccm wengi wanaotaka serikaki 2 ukiwauliza kwann mnataka 2 hawana hoja za msingi example wasira alisha wai ulizwa why unatetea serikali 2 akadai tumezoea so hiyo c hoja & advice thnk b4 u do siyo kila kitu we...
  2. G

    JamiiForums Tanzania Happy Birthday: Jiunganishe na mtu ambaye amezaliwa mwezi mmoja, siku moja na wewe

    Me ni 20 October!
  3. G

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu usajili wa kampuni, BRELA wanatukatisha tamaa katika hili

    Hongera ndugu waweza nielekeza njia ulizopita if ua ready naomba uni PM
  4. G

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu usajili wa kampuni, BRELA wanatukatisha tamaa katika hili

    Ahsante ndg I will try to work on that.
  5. G

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu usajili wa kampuni, BRELA wanatukatisha tamaa katika hili

    Ndugu nashukuru sana kwa maneno yako mazuri ya kututia moyo ntaku PM ndugu endapo kama tutakuwa hatujapata mpk jumanne.
  6. G

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu usajili wa kampuni, BRELA wanatukatisha tamaa katika hili

    Yah we are serious ktk hili ndugu kama una no ya huyo dada unaweza ukansaidia kwa ku ni PM hiyo no yk ili tuweze fanya naye mazungumzo.
  7. G

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu usajili wa kampuni, BRELA wanatukatisha tamaa katika hili

    Sorry nlikuwa namanisha then & not den hope sasa umenielewa.
  8. G

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu usajili wa kampuni, BRELA wanatukatisha tamaa katika hili

    Wadau naomba msaada, sisi ni vijana tumemaliza chuo na tumeamua kujikomboa kiuchumi kwa kuamua kuanzisha company yetu binafsi ya usambazaji wa vitu mbalimbali especially stationaries. Tukaenda BRELA kwa ajili ya usajili wakatuambia tutafute memorandam, article of association na mwanasheria wetu...
  9. G

    JamiiForums Tanzania Diwani wa CHADEMA Aswekwa ndani kwa Amri ya Mkuu wa Wilaya

    No prison can stop the struggle of people!
  10. G

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yaunguruma jimbo dogo la uchaguzi udiwani kata ya Tungi Morogoro

    We ndo div 5 coz mtu mwenye upeo mkubwa na akili timamu hawez andika hivyo usiishi kwa kukalili nenda ifakara diwan 1 tu wachadema lakin anayapelekesha magamba na wananchi wanapata raha hakuna hata tena michango ya sekondar
Back
Top Bottom