Recent content by Gucci gang

  1. Gucci gang

    Je, ulifika Third floor(30s) bila kuwa na familia? Hali ilikuwaje?

    Nimekuja kusema hiviiii Wewe chukua jini lako moja mkapambane kwa mbele huko
  2. Gucci gang

    JamiiForums Usiku wa manane

    Wazee habari zenu
  3. Gucci gang

    Full Time: Tanzania 2-0 Burkina Faso | Mechi ya ufunguzi CHAN | Mkapa Stadium | Agosti 2, 2025 | Saa 2 Usiku

    Tanzania tunacheza mpira mzuri Ni ajabu tukitoa sare au kufungwa hii mechi
  4. Gucci gang

    Mbinu za kumfukuza kwako kijana aliyefikia umri wa kujitegemea

    As time inaenda mbele vijana wanazidi kua na ugumu wa maisha I think 25yrs kwao sahv ni acceptable Mzee wa miaka 60 kumjudge kijana wa 25 sahv sioni ni haki Wengi sana wangewekwa kizazi hiki wangetupa taulo
  5. Gucci gang

    Yawezekana kujifunza pikipiki siku moja ya kesho ili Jumatatu nianze nayo harakati Kariakoo?

    We nenda nayo town ingekua gari ningekutaza maana kikiwaka mpaka ufungue mlango uruke ni process ndefu ila hiyo ukiona jahazi linazama unaitanguliza mbele we unatua na miguu yako miwili unaendelea na harakati zako tena kama imeenda kuvamia machinga huko huifati usije lala sentro unaenda kuvua...
  6. Gucci gang

    Hunywi pombe ila unakunywa soda? Usimcheke mnywa pombe

    Hapana siwacheki wanywaji wa bia Happy?
  7. Gucci gang

    Hunywi pombe ila unakunywa soda? Usimcheke mnywa pombe

    Sisi wa juiskola tumepona😆
  8. Gucci gang

    Mtaani kwako unafahamika kwa jina gani?

    Mzee wa simba Mzee wa man u Kuna kiwanja waniita tajiri kila nikienda nshavuta mteja wao mmoja nakula Mema ya majina mazuri hii😁😁
  9. Gucci gang

    Ukweli utabaki kuwa ukweli

    Yani kuna njemba hapa Tuzo ya umbea itengenezwe wapewe😆
  10. Gucci gang

    Tunaoanza NoFAP challenge leo tukutane hapa

    Yani kujenga ni rahisi kuliko hii Mpo wangapi mmebaki??
Back
Top Bottom