Recent content by gubegubekubwa

  1. gubegubekubwa

    JamiiForums Tanzania Naomba sifa za wanawake wenye tabia ya kuona aibu

    Ukisha muoa wa namna hiyo aibu zote anaacha anaanza jeuli, dharau aibu yooote huisha kabisaaas
  2. gubegubekubwa

    JamiiForums Tanzania Naomba sifa za wanawake wenye tabia ya kuona aibu

    Hilo ni tabasamu la mamba mkuu, mi nilimpata kama huyo nikaoa saizi najuta najuta kweli kweli kumbe ilikuwa style ya kuniingize kwenye 18
  3. gubegubekubwa

    JamiiForums Tanzania Shetani kama ni kidume avae mwili kama Yesu kristo aje Duniani alete hizi tabia zake za kipumbavu

    Sasa mkuu hivi unamjua shetani au unamsikia tu, Hilo dude hata Mungu mwenyewe anamuheshimu/ wanaheshimiana (maana Wana nguvu Sawa) hadi huwa wanapiga story kabisa kuhusu binadamu (soma kitabu cha Ayubu). Lakini wewe mlokole wa Tandale huko kiiiila siku unaomba tu shetani toooooka, toooka. Aise...
  4. gubegubekubwa

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) limetelekeza Abiria Mwanza, hadi sasa hawajui hatma yao

    Aise nawewe kumbe ulimsoma vzr, Yule hamna kitu pale anawaza posho tu
  5. gubegubekubwa

    JamiiForums Tanzania Watu weusi hatutaacha kudharaulika kamwe

    Umeandika kwa uchungu Sana na ni ukweli mtupu, mi ndiomaana huwa nakubali Sisi ni nyani tu kama wazungu wanavyotuita
  6. gubegubekubwa

    JamiiForums Tanzania Je, Mtumishi wa Umma akijiuzulu kwa kufuata taratibu anaweza kurudi tena kwenye utumishi wa Umma baada ya kujiendeleza kielimu?

    Bro acha uongo hizo taasisi zote ulizotaja mshahara unatoka haina na Wana cheque nunber
  7. gubegubekubwa

    JamiiForums Tanzania Viwanja Bunju Mabwepande

    Kwa ninavyojua DSM hakuna viwanja vya bei hiyo naona kutakuwa na shida sehemu ingekuwa chanika huko sawa
  8. gubegubekubwa

    JamiiForums Tanzania Kwanini siponi amoeba

    Mkuu mi nimesema Sana na hao bacteria ila Mimi tumbo lilikuwa linauma mfurulizo hadi nilivyopiga doze zifuatazo saizi naona Niko fresh labda kama Hali utarudi baadae. Tumia hizi 1. Heligo kit siku 14 Hii ni kwaajili ya bacteria wanaosababisha vidonda vya tumbo then nikianza hii. Hii kidogo ni...
  9. gubegubekubwa

    JamiiForums Tanzania Msaada tafadhali, nimekata tamaa ya maisha

    Ulitumia dawa gani mkuu
  10. gubegubekubwa

    JamiiForums Tanzania Resistant H.pylori

    Hii ni taarifa muhimu sana, wahanga tuko wengi Sana aise asante
  11. gubegubekubwa

    JamiiForums Tanzania Gastric na gesi tumboni inavyoniua

    Mkuu Anza Kwanza kwa kuua bacteria wanaosababisha Hali hiyo. Mi nilikuwa namateso makubwa kuliko wewe hadi nilivyopewa hii dose hapa ndio Hali ikatulia
  12. gubegubekubwa

    JamiiForums Tanzania SPECIAL THREAD kuhusu Wanawake: Njoo uulize chochote kuhusu wanawake na sisi wadada na wamama wa JF tutakujibu

    Mwenzenu kasema ya nyie kukaa juu, yaani ya kujipimia
  13. gubegubekubwa

    JamiiForums Tanzania SPECIAL THREAD kuhusu Wanawake: Njoo uulize chochote kuhusu wanawake na sisi wadada na wamama wa JF tutakujibu

    1. Hivi nanyinyi huwa mnakuwa na nyege? 2. Huwa pia mnawatamani kimapenzi baadhi ya wanaume mnaokutana nao barabarani kama Sisi tunavyotamani tukikutana na dem kisu na kajazia nyuma? 3. Huwa pia mnafanya musterbation? 4. Ni style gani huwa mnaipenda kwenye sita kwa sita? 4. Ni kitu gani au...
Back
Top Bottom