Recent content by gTurn

  1. gTurn

    JamiiForums Tanzania Serikali ya majimbo italeta ukabila, Tunachohitaji ni Katiba ya Warioba. Ghana, Malawi, Zambia na Botswana zina mfumo kama wetu ndio maana zimetulia

    Huyo lazima ni ccm kumchunguza kwa umakini maana wao wanapendaga mambo mabaya mabaya tu, mifumo ndio kila kitu katika nchi bila mifumo imara ya kiuongozi chini ya katiba iwe mikoa au majimbo haitafaa kitu
  2. gTurn

    JamiiForums Tanzania Itakuwa siku ya furaha sana misikitini na uswahilini. Huyu mwamba kaua viongozi wengi sana wa Irani na waarabu

    Kuna watu muhimu hawana haja ya kufa sasa kama Trump angekufa Iran isingekuwa na strait of Hormuz so ujinga wa hao viongozi ndio muhimu kuliko hata wakifa acha waendelee kuwepo
  3. gTurn

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Usalama wa Taifa wa Israel, Itamar Ben-Gvir: awasaidie Watu wa Gaza wakae Mkao wa kuondolewa huko Gaza!!

    Anacho fanya muajemi ni kufidia hasara hivyo zitaendelea kukamatwa mpaka hela yake irudi
  4. gTurn

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Usalama wa Taifa wa Israel, Itamar Ben-Gvir: awasaidie Watu wa Gaza wakae Mkao wa kuondolewa huko Gaza!!

    🇮🇷🇮🇱| Iran seized a ship belonging to an Israeli businessman to compensate for damages caused by the American-Israeli aggression. According to the spokesperson for Iran’s Judiciary, the ship belongs to Israeli businessman named "Eyal Ofer". The owner and crew of this ship have been fined on...
  5. gTurn

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa elimu Tanzania wafumuliwa.

    Wako sawa kabisa tena ikiwezekana hesabu tu ndio iwe compulsory mtu asome kitu atakachobobea tu, Lundo la masomo la nini?
  6. gTurn

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa elimu Tanzania wafumuliwa.

    Ushauri wangu 5(msingi) +3(olevel) +1(Alevel or option)+diploma 2 or degree 3 Angalizo mtoto apendekezwe fani yake tangu msingi akifika sec haina kurudi nyuma kama ni ujenzi, kupaua, football, au chochote alicho chagua msingi ni kuunga tu mpaka degree asipoteze muda, watu wengi tu wanaoajiriwa...
  7. gTurn

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa elimu Tanzania wafumuliwa.

    Bado masomo ni mengi, na bado muda wa kuingia shuleni ipunguzwe mpaka miaka 5, halafu mtoto akishamaliza elimu ya msingi iwe lazima asome hio amali, achague mchepuo kabisa kama ni computer science asome mpaka achoke Nigeria tu hapo mtoto wa miaka 18 ana degree, mwanzo mzuri lakini kijana masomo...
  8. gTurn

    JamiiForums Tanzania Mojtaba Khamenei Alisha AANGAMIZWA siku nyingi zinazoendelea sasa ni swaga tu!!!!

    Huwajui waajemi wewe hawahitaji mtu yoyote kuwa hai ili awape moyo wapigane, kifo kwao ni Sehemu ya ibada mabomu yanapigwa kwa nyumba za raia mabomu lakini raia hawaingii shelters leo siku ya 200+ raia wako barabarani kila siku usiku kuisapoti IRGC, vita ni strategy na Mzayuni strategy hana yeye...
  9. gTurn

    JamiiForums Tanzania Majeshi ya Lebanon yasalimu amri huko Deirdre-Mimas Lebanon mbele ya vikosi vya Israel!!!

    Sasa kama hao wanajeshi wa Lebanon wana faida gani? Kila siku wanawachekea Chekea IDF huku wakiwakamata baadhi ya memba wa Hizbollah na kuwasumbuasbua tu we huoni tu ni maajenti wa mashetani Mayahudi na Zayuni kuu US
  10. gTurn

    JamiiForums Tanzania Xabi Alonso tuachie timu

    Mfumo hauna shida huo huo mfumo Conte alibeba ligi, shida ni quality na transfer window mwaka huu mmefanya utani mwingi yaani mpaka welbeck yuko Chelsea hivi hii ni nini?
  11. gTurn

    JamiiForums Tanzania Majeshi ya Lebanon yasalimu amri huko Deirdre-Mimas Lebanon mbele ya vikosi vya Israel!!!

    Kwani hujui kama Lebanon na Mzayuni ni kitu kimoja na care taker wao US,? Yaani mtetezi wa kweli wa Lebanon ni Hezbollah na Amal wengine wahuni wenzao tu
  12. gTurn

    JamiiForums Tanzania Iran inazidi kuficha kipigo ilichokipata kutoka majeshi ya Israel na Marekani!!

    Mtake msitake Iran technology ya nyuklia hamuwezi kuivunja mlichelewa mpaka sasa ana mabomu 10 kwa mkono wake project ya wanasayansi wa Russia ikiisha ndio kabisaa biashara kwishnei
  13. gTurn

    JamiiForums Tanzania Hivi hizi Ngoma kwenye minara huwa za kazi gani?

    Hivi ngoma kwenye sikio pia ina kazi gani
  14. gTurn

    JamiiForums Tanzania Identity ya mtu — wewe ni nani hasa?

    Hizo memories, DNA sijui copy copy yake vyote hivyo havina uwezo wa kuchezea identity ya mtu, identity tulishapewa bilioni of years what matters is the SOUL yaani ROHO hio iliumbwa moja ya kipekee na elimu hiyo binadamu hana ndio maana maswali ni mengi. So roho zipo na zinapewa tu nafsi na mwili...
  15. gTurn

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu azidi kuitambia Iran akiwa juu ya mlima wa Hermon nchini Syria

    Kama hujui hesabu za muajemi ipo siku utaelewa kumshambulia Mzayuni huku kambi za middle east zikiwa na uwezo wa kupangua mashambulizi ni kupoteza muda, sasa Saivi rada nyingi na kambi nyingi za US zimelemaa subiri uone siku shughuli kwa Mzayuni ikianza ndio utaelewa kinachofanywa Saivi na...
Back
Top Bottom