Recent content by Gtrury

  1. Gtrury

    CHADEMA kuomba kibali cha kuuaga mwili wa Mawazo mahakamani

    Polisi hawa nao wamekuwa kama Nyumbu eti wanaweka kambi ktk Hospital ya Bugango,yaani wanarandaranda kila kona ya hospital in I hapo utadhani wameambiwa kuna Alshabab humo.
  2. Gtrury

    Ushauri: Vyama vya Upinzani vifutwe, kibaki CCM pekee kama chama dola

    Mtoa mada umeona mbali sana umesema ukweli mtupu.
  3. Gtrury

    Uko wapi Dk Wilbroad Slaa? Njoo ushuhudie anguko la Mafisadi

    Siku ya kufa nyani miti yote huteleza,Kuna sehemu mafisiem walitaka wapigishe kura wanafunzi makamanda wakashtuka wakadakwa.Bao la mkono linakula kwao.
  4. Gtrury

    Kikwete: Lowassa ndiye mhusika wa Richmond

    Atwambie na zile fedha za ESCROW zilizobebwa kwenye vilibota zilikuwa za nani tumuamini,vinginevyo ni majungu Rais gani ana majungu hivyo?
  5. Gtrury

    Kikwete: Lowassa ndiye mhusika wa Richmond

    Haitasaidia kitu ,kusema mmiliki saa hivi alishaulizwa siku nyingi aseme akasema hamjui leo ndio anamfahamu? na ni hatua gani alimchukulia?asitupoteze kwe malengo yetu ya mabadiliko.aende zake na porojo zake.
  6. Gtrury

    Dr. Mwakyembe afunguka kuhusu Richmond na dhamira yake kugombea Ubunge tena - Oktoba 23, 2015

    Eti anaeleza kwa undani, alishindwa nini kueleza kwa undani Bungeni? Star TV anadhani atasikika zaidi?Wameona madongo yoote waliyompiga Mheshimiwa Lowasa anazidi kuchanja mbuga leo anadhani anatubadilisha ? Kwa taarifa yake wenye kutaka mabadiliko tulisha achana na Star TV, TBC.maana yake...
  7. Gtrury

    Dar mmenifurahisha na Mabadiliko

    Dar,kweli nimewakubali mpaka JPM anakubali People's.
  8. Gtrury

    Dr. Mwakyembe afunguka kuhusu Richmond na dhamira yake kugombea Ubunge tena - Oktoba 23, 2015

    Miaka 8 yote alikuwa wapi mpaka alete polojo zake hapa?je atataja na wale aliosema aliwaacha ili kulinda heshima ya selikali?
  9. Gtrury

    Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, ajipima ubavu na Wana-Mwanza

    Huyu RC,juzi kaagiza walimu wapeleke watoto wa dalasa la 5 na 6 kwenye mkutano wa Magufuli.
  10. Gtrury

    YALIYOJIRI: Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za CCM - Viwanja vya Jangwani, Dar-es-Salaam

    Wewe sema Magufuli chaguo langu,usiseme chaguo la watanzania,maana wengi sii chaguo lao.hata mimi sii chaguo langu,chaguo langu ni Rungwe.
  11. Gtrury

    Natafuta Receiver ya Strong (SRT 4922)

    Mwanza kuna jama anazo mpya anauza laki3
  12. Gtrury

    Dr. Slaa hatanyamaza, hataishia hapo!

    Tusipoteze muda na harakati zetu za kutaka mabadiliko,wanaomshabikia Slaa ni CCM waliomtuma,hao hao wakati yuko Chadema walimuita mzushi muongo na kutishia kumpeleka Mahakamani,leo hii wanamuita msema kweli,kwa upande mwingine,kama Lowasa ni Fisadi alifanya ufisadi akiwa CCM na sasa ameondoka...
  13. Gtrury

    Hata kama Fisadi, tutamchagua!!!

    Jana ndo nikagundua Magufuli kaishiwa sela,ati anawatisha wananchi wasikubali mabadiliko ya haraka ati watakuwa kama LIBIA.Nina swali kwake kama atakuwa humu; Mabadiliko tunayotaka ni ya haraka au yamechelewa? Mabadiliko anayoyaogopa ni kupitia sanduku la kupigia kura sio kwa nguvu zilizotumika...
  14. Gtrury

    Hivi CCM wana mgombea urais mwaka huu?

    Ni wazi kwamba anaogopa kuomba kura kwa jina la CCM,kama ulimsikiliza wakati wa uzinduzi wa Kampeni,na yeye anashuhudia CCM wamebolongo kila kitu alishangaa,mpaka akashangaa kwa barabara zinajengwa chini ya kiwango.
  15. Gtrury

    Aliyekuwa waziri wa Elimu na mbunge wa Mufindi, Joseph Mungai ajiunga CHADEMA Leo

    Sumaye kasema jana ccm wamejaa viburi wao wanasema eti hata akihama magufuli watashinda tu.
Back
Top Bottom