Recent content by GTesha

  1. G

    JamiiForums Tanzania Hatimaye K Lyn (Jacqueline Ntuyabaliwe) achumbiwa na Reginald Mengi

    Hakuna Mr Machache huko anayembwelambwela na mie nikajiongeze?? Maana hapo stress hakuna kabisa
  2. G

    JamiiForums Tanzania Le mutuz na Lulu wakila bata: u know, le tamkoz coming soon

    Le mutuz akili yako ni ndogo kama punje ya ubuyu.
  3. G

    JamiiForums Tanzania Sony Xperia U

    bei ya mwisho? serious buyer
  4. G

    JamiiForums Tanzania SNURA AMEVURUGWA WACHA WEE SIJUWI NANI KAMVURUGA SNURa

    kanivuruga na mimi, ndo nini kuweka wanafunzi?? kashindwa kuchukua wauswazi wenzie??
  5. G

    JamiiForums Tanzania Tanzania chimbuko la mapenzi ya kweli (true love)angalia kwa picha

    hawa wenzetu siku wakigeuza kibao, patachimbika hapo....... wapo wengi etiii....
  6. G

    JamiiForums Tanzania Tume ya nini mbona majibu yako wazi?

    Najiuliza kwani nazo zimesajiriwa vipi........
  7. G

    JamiiForums Tanzania Top 10: Majina ya kipekee zaidi kutoka Tanzania

    Fungameza tuodie...... Ir hiyooo
  8. G

    JamiiForums Tanzania Tamaa mbaya baba mchungaji

    acha unafiki wewe.......
  9. G

    JamiiForums Tanzania Nataka kuanza kunywa pombe, ushauri please

    Usisahau inakurudisha hali ya utoto..... Kujinyea, kujikojolea, kutapika na hata kuchambishwa.....
  10. G

    JamiiForums Tanzania Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

    Kusamehewa deni ndo kukunyimwa mkopo mkopo mwingine
  11. G

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Anti Ezekiel afunga ndoa

    mimi namtakia kila la kheri huyu dada, naamini atatulia na kutengeneza familia nzuri na kuwa mama mzuri sana, asonge mbele asirudi nyuma aliko toka.
  12. G

    JamiiForums Tanzania Wanatwangwana baada ya kumfumani......

    umekunywa ulansi wangu kulipa hutaki, leo ndo utanitambua nakwambia
  13. G

    JamiiForums Tanzania HII ni hapahapa TANZANIA...

    igo ndo ndege gani kwa lugha yetu ya taifa? msaada jamani wengine hizi lugha bado ni gongana kwa kichwa
  14. G

    JamiiForums Tanzania Miss Tanzania 2000 Jacqueline Ntuyabaliwe amejaaliwa mapacha...

    jamani mna uhakika kama hawa watoto na wa yule mzee? ngoja mfanyiwe suprise na mwenye mali mtajuta!
  15. G

    JamiiForums Tanzania PICHA: Rais Kikwete katika ziara rasmi Ottawa, Canada

    ameanza? si nilisikia no more safaris?
Back
Top Bottom