Recent content by gstar

  1. gstar

    JamiiForums Tanzania Kwa Nini Ukristo Hauna Mfumo wa Social Guidance Kama Uislamu na Uyahudi?”

    Canon law ni muongozo wa sheria zote ulimwenguni chimbuko lake ni kanisa Katoliki.
  2. gstar

    JamiiForums Tanzania Jaji Warioba: Akubali kukwama katiba mpya kabla ya 2030, asema Nchimbi hakuwa na "uchawa"

    DAR ES SALAAM, TANZANIA— Waziri Mkuu Mstaafu na Mwenyekiti wa zamani wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Sinde Warioba, ameeleza wasiwasi wake mkubwa kuhusu uwezekano wa Tanzania kupata Katiba Mpya kabla ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2029/2030. Akizungumza katika mkutano uliowashirikisha...
  3. gstar

    JamiiForums Tanzania Maisha ya Vijijini na imani za Kishirikina.

    SEHEMU YA 2 Ilikuwa hivi, kijana mmoja aliyekuwa wa umri kati ya miaka 10 mpaka 14 alipofariki dunia kwa hali ya kutatanisha. Kijana alikwenda shambani na wazazi wake kulima akatoroka na kwenda kwenye mkorosho kuangua mabibo wakati anapanda bahati mbaya alianguka lakini mkorosho haukuwa mrefu...
  4. gstar

    JamiiForums Tanzania Maisha ya Vijijini na imani za Kishirikina.

    Mimi nilizaliwa Kijiji kimoja huko mkoa wa Tanga katika wilaya ya Korogwe, japo baba yangu alitokea mkoa wa Kilimanjaro alihamia hapo kijijini kikazi. Vijiji vingi vya mkoa wa Tanga vilitawaliwa na imani za kishirikina, nikweli kwamba wanaposema katika kila mtaa lazima awepo mzee anayehisiwa...
  5. gstar

    JamiiForums Tanzania HOJA Mume wa Mzazi Mwenzangu aliniteka na watu wake waliojitambulisha kuwa ni Polisi, wakanijeruhi vibaya kwa mapanga

    Mimi ni mhanga wa watu kama nyinyi, wakati mtoto analelewa na mwanaume mwingine wewe ulikuwa wapi, leo hii unaleta pua eti mtoto ni wa kwako, ulifuata taratibu ama ulikuja kinyemela kuiba mtoto? uache kuingilia mapenzi ya watu na hiyo adhabu waliyokupa haikutoshi.
  6. gstar

    JamiiForums Tanzania Mbaraka Mwinshehe matusi ya nini? Hapa alikuwa anamaanisha nini huyu mkongwe

    Ahsante sana mkuu kwa ufafanuzi huu, swali ni kuwa, huyo mchafuzi aliyeleta matusi ambaye kwa maelezo yako ni Juma Kilaza ni matusi gani aliyaleta, Kuna wimbo wowote unao ukumbuka ambayo ilikuwa wa matusi moja kwa moja. Kwa Moro Jazz?
  7. gstar

    JamiiForums Tanzania Kukatika kwa umeme nchi nzima ni mbinu ya kupooza maandamano ya July 7

    Ikiwa unadhani kwamba kukatika kwa umeme nchi nzima kulikotokea lao tarehe 27 June saa 1 kamili usiku ni hitilafu ya kawaida ya mitambo ya kufua umeme utakuwa umekubali kudanganyika kirahisi mno. Kuzima umeme nchi nzima kamwe hakuwezi kuwa ni tukio la bahati mbaya wala kuhusianishwa na tangazo...
  8. gstar

    JamiiForums Tanzania Unasubiri akupose ndio umpe penzi anasubiri umpe penzi ndio akupose, mwendo wa kutegeana.

    Hapo inakuwaje wadau, eti mwanamke anasema, sikupi mambo mpaka ujitambulishe kwetu na huku mwanaume naye anakaza kamba, anataka kwanza aonje utamu ndio ajue kama yaliyomo yamo akinogewa ndio ajitokeze kwa wazazi kubeba mzigo jumla, nani yupo sahihi hapo? Kwa upande wangu siwezi kuuziwa mbuzi...
  9. gstar

    JamiiForums Tanzania Kutoka X: Kashfa nzito yaibuliwa “watekaji” walivyouawa na polisi Mbeya

    MSHAHARA WA DHAMBI NI MAUTI. Mwandishi: Hilda Newton (Twitter, X) Juzi RPC wa Mkoa wa Mbeya alitangaza kupitia vyombo vya Habari kwamba Jeshi hilo limewauwa watuhumiwa watatu wakati wakijaribu kuwakimbia Polisi. Watuhumiwa hao ni Marwa Nyahende, Edward Kayuni na Websta Mwantebele lakin ukweli...
  10. gstar

    JamiiForums Tanzania Mataifa ya wenzetu wanakesha wanatafuta scholarship, ajira za kimataifa, network za biashara lakini huku wanakesha wanaskiliza press za Polepole

    Kwanini watafute scholarship ya kwenda nje na wana nchi yao inabagazwa na wahuni wachache?
  11. gstar

    JamiiForums Tanzania Mapungufu ya hoja ya mifumo kusomana je, taifa gani mifumo haisomani

    Kwahiyo CCM pia inasomana ili iweje? Umekuja kutetea ujinga?
  12. gstar

    JamiiForums Tanzania Tanzania hatupigi kura kidigitali kwamba mtu akiwa na NIDA tayari kapiga kura, tunapiga kura kwenye boksi zinahesabiwa mbele ya mawakala

    Baada ya matokeo kuhesabiwa kura zinaingizwa kwenye mfumo wa Computer. mwenye haki ya kutangaza matokeo ni mwenyekiti wa tume ya uchaguzi. Kura nyingi feki na za maruhani huingizwa kwa mtindo huu wa karatasi zilozokwoisha tikiwa tayari. kujustify wizi huo lazima mfumo utempiwe ili waweze kupata...
  13. gstar

    JamiiForums Tanzania Namna CCM wanavyonufaika kwa kuunganisha mfumo wa NEC na mfumo wa NIDA kufanikisha wizi wa kura

    Kwenye kila mfumo Kuna front end na back end. Front end inahusisha user interface hapo ndio authorization kama passwords hutumika hii ni kwa watumiaji wa kawaida. Kwenye backend kunahusisha codes na algorithms pamoja na database (yaani taarifa zulizo hifadhiwa) only authorized people Huwa na...
Back
Top Bottom