Recent content by GSS

  1. G

    JamiiForums Tanzania Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

    Asante sana,ngoja niendelee kukamilisha mipango
  2. G

    JamiiForums Tanzania Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

    Naombeni ushauri kuhusu SWEDEN ndugu zangu, mimi natarajia kwenda huko soon,vipi maisha ya Sweden na mazingira kwa ujumla?,nataka kwenda kuishi Stockholm
  3. G

    JamiiForums Tanzania NHIF kwanini tusijiunge bima kama tunavyokata za magari?

    Huyo anaongea tu kwa sababu hajui tunakatwa shilingi ngapi
  4. G

    JamiiForums Tanzania NHIF kwanini tusijiunge bima kama tunavyokata za magari?

    Kiasi ninachokatwa ni kikubwa sana kwa mwezi na ukipiga hesabu kwa mwaka ndio nagundua mzigo ni mkubwa sana
  5. G

    JamiiForums Tanzania NHIF kwanini tusijiunge bima kama tunavyokata za magari?

    Ukisema bima ikatwe kama Magari basi itabidi sheria zirekebishwe kwa sababu sisi wafanyakazi tunabeba mzigo mkubwa sana,sisi tunakatwa kila mwezi,lakini sheria zikibadilishwa hilo linawezekana sana
  6. G

    JamiiForums Tanzania Mke mmoja husababisha upungufu wa nguvu za kiume

    Jogoo haipandi mutungi wajameni,jamaa inataka kuwa na bibi wengi
  7. G

    JamiiForums Tanzania Baraza la Maaskofu KKKT lamtenga Askofu Malasusa

    Wawili wakutanapo kwa jina langu Mimi nipo katikati yao(YESU),kila mtakalolifunga duniani na mbinguni limefungwa!,askofu anapaswa kuwa mtu safi,mume wa mke mmoja na asiye na mawaa
  8. G

    JamiiForums Tanzania Nipo Mwanza, haijanivutia kabisa

    Majiji mengi hapa Tanzania hayana hadhi ya kuwa majiji kwa sasa
  9. G

    JamiiForums Tanzania Baada ya ATCL yetu sasa ma-snitch kuhamia Stieglers Gorge!

    Jamani yale mabilioni yetu ya acacia yameyeyukia wapi? zile noah zetu ziko wapi wajameni? yule mwanaume alituahidi vipi yameshalipwa bandugu?
  10. G

    JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo tour yangu katika nchi za Netherlands na Sweden ilivyokuwa

    [emoji3] [emoji3] [emoji3] Bujibuji umenichekesha sana
  11. G

    JamiiForums Tanzania Mzaha mzaha hutumbua usaha, unabii wa Bujibuji

    BUJIBUJI UMETISHA
  12. G

    JamiiForums Tanzania Natamani kuona Polisi wakienda kulinda amani mataifa ya nje (Peacekeeping)

    Hata Tanzania pia wanaenda
  13. G

    JamiiForums Tanzania Natamani kuona Polisi wakienda kulinda amani mataifa ya nje (Peacekeeping)

    Nimeshuhudia Sudan polisi wetu wamekwenda na TPDF pia walikwenda
Back
Top Bottom